Nini madhara/ faida ya bangi?

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,415
3,761
Wanajamvi naombeni mnijuze, kuna madhara gani yanayoletwa na uvutaji wa kaya? mentally and physically, na kama kuna faida yake, wenye ujuzi na hili jamani tunaomba mtufunze nasi.

========
Tumekua tukiskia sifa za ajabu kuhusu Bangi, ajabu hakujawahi kutolewa ushahidi wa kitaalamu juu ya madhara ya bangi! Jamii imekuwa ikichukulia mtu mwenye kuvuta bangi kama mhalifu au mvunja sheria, lakini ukweli ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaovuta bangi ni watu watulivu na wenye hekima sana, nawafahamu watu wengi ambao ni high profile hapa kwetu Tanzania wanaotumia huu mmea, wanasiasa, wafanyabiashara, madaktari na watu wengine wenye mawazo panufu. Leo napenda tuangalie faida kadhaa za mmea huu.

-Bangi ina THC na CBD inayosaidia kuzuiya cancer (utafiti kamili uko hapa: Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News)

-Bangi inasaidia neurogenesisi - ukuaji wa brain cells (utafiti kamili uko hapa: Cannabinoids promote embryonic and adult hippocampus neurogenesis and produce anxiolytic- and antidepressant-like effects)

-Bangi inapunguza msongo wa mawazo, utafiti (Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News) umeonesha kwamba rate ya watu kujiuwa miongoni ya watumiaji wa bangi ni ndogo sana.


Faida za bangi si kwa wavutaji pekee, watu wasiovuta pia wanaweza kufaidika na mmea huu, kuna mamia ya bidhaa zinazotengenezwa kutokana na mmea huu;
Mbegu ya Bangi ni moja ya chakula chenye virutubisho vya aina nyingi sana. Mafuta yatokanayo na mbegu za bangi hayana rehemu, na pia yanaweza kutumika kama energy, pia yanaweza kutengenezwa mafuta ya nywele (hair food) na mafuta ya kujipakia.

Mmea huu ukihalalishwa Tanzania kwa hakika utakuwa na faida kubwa sana kiuchumi, kwani unamea vizuri sehem kubwa ya nchi yetu, hivyo tutaweza kuuza nje ORGANIC MARIJUANA kwa bei nzuri na kuinua vipato vya wananchi.

Pia, soma;

 
​Mbona habari yako haijakamilika na je advantages za marijuana Mbona hujaziweka ili tulinganishe faida na hasara
 
BAADA ya kuwepo kwa baadhi ya tafiti zilizokuwa zikiruhusu uvutaji wa bangi kwa madai kwamba ilisaidia wagonjwa waliosumbuliwa na msongo wa mawazo, hali hiyo imesababisha baadhi ya nchi kuruhusu matumizi yake.

Pamoja na mawazo ya wengi kufikiria kuwa kutokana na nchi ya Jamaica ndiyo ilikuwa mstari wa mbele kwa watumiaji wengi ingekuwa ya kwanza kuruhusu bangi, lakini ukweli ni kwamba nchi ya Canada

ndiyo ilikuwa ya kwanza kukubali bangi kutumiwa kama dawa ya maradhi.
Baada ya utafiti huo wa awali hivi karibuni watafiti wengine wamegundua kuwa matumizi ya bangi kwa muda mrefu yanasababisha kujiongezea madhara badala ya kutibu kama ilivyokuwa ikisemekana hapo awali.

Watafiti hao wamekwenda kinyume na wale wa kwanza kwa kusema kuwa matumizi yake yana uwezekano mkubwa wa kumletea mtumiaji magonjwa ya kupungua uzito mara kwa mara, magonjwa ya figo, ini na ugonjwa wa akili.

Watafiti waliogundua athari hizo ni wale wanaotokea nchini Australia ambao katika utafiti wao wamegundua kuwa zaidi ya vijana 3,100 walio katika umri wa miaka 20 ndio wamekuwa watumiaji wakubwa wa bangi.

Utafiti wao umekwenda mbali na kubaini kwamba asilimia 18 ya vijana hao ni wale waliojiingiza katika matumizi ya dawa hizo za kulevya kwa muda wa miaka miwili au mitatu.
Asilimia nyingine 16 ya vijana wa umri huo wamebainika kutumia kwa muda wa kati ya miaka minne hadi mitano.

65 kati ya watumiaji wamegundulika wameshaathirika na maradhi ya ugonjwa wa akili.
Wakati hao wakisumbuliwa na tatizo hilo wengine 233 wamebainika kuathirika kwa figo na ini.

Watafiti wamebaini vijana wengine kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kupata uchizi (wehu).
Baada ya kubaini hayo watafiti wametoa ushauri kwa vijana kutotumia dawa hizo za kulevya kwa vijana kwa zaidi ya miaka sita au zaidi tangu pale siku ya kwanza alipoanza kutumia.

Wanasema kuwa kwa wale ambao sasa wamevuta kwa muda mrefu kati ya miaka 15 na zaidi wengi wao wamekumbwa na tatizo la kiakili.

Kwa mujibu wa Dk. John McGrath, wa kituo cha uchunguzi wa afya ya wagonjwa wenye mtindio wa ubongo cha Queensland, nchini Marekani, anasema: “Wengi wa wagonjwa ambao wamekumbwa na matatizo hayo tumegundua ni wale waliowahi kutumia bangi kwa muda mrefu na hatimaye kujikuta wakipata tatizo la akili.”

Daktari huyo anasema kuwa ni nadra sana kukutana na wagonjwa wa akili vijana halafu wakawa hawajawahi kutumia bangi, iwe mwaka mmoja au zaidi.
Anasema kuwa iwapo matumizi ya bangi yatakomeshwa tatizo la vijana kupata matatizo ya utaahira yatapungua kwa kiasi kikubwa duniani.

Bangi ni nini, inatumiwaje?

Kwa hapa nchini na baadhi ya nchi, bangi imetambulika kama dawa ya kulevya ambayo imekuwa na majina mengi kutokana na kutumiwa na kundi la vijana zaidi kuliko watu wazima.
Bangi imekuwa ikijulikana kwa majina mengi ikiwamo, dawa, ganja, hashish, kijiti, marijuana, kaya blunt na mengineyo, ilimradi kutegemeana na sehemu inapotoka.

Watumiaji wengi wamekuwa wakiitumia kwa kuvuta kama sigara au wengine hutumia kwenye kiko kwa kuvuta.

Bangi ni bidhaa iliyochanganyika na kemikali hatari ambazo ni sumu na huathiri afya.
Wapo baadhi ya watumiaji wa bangi ambao wamekuwa wakiitumia kwa kuiweka katika maji wakiifanya kama majani ya chai na wengine huchanganya kwenye chakula.
Bangi inaathiri vipi ubongo?

Wanasayansi wamebaini kuwa matatizo makubwa yanaanza kupatikana kutokana na bangi kuingia kwenye ubongo wa mtumiaji na huathiri mfumo mzima wa akili.

Tatizo kubwa linalomkumba mvuta bangi ni kunyemelewa na magonjwa ya ugonjwa wa shinikizo la damu (BP), kupoteza kumbukumbu, mawazo, anaridhika hata kama ana matatizo.

Pia mtumiaji wa kila siku anakuwa akikumbwa na mabadiliko ya mara kwa mara katika ubongo wake.
Imebainika kuwa bangi inachangia kuongeza mapigo ya moyo kutoka asilimia 20 hadi 100, muda mfupi tu wa saa tatu baada ya kuvuta.
Bangi huaribu mapafu, kwani ina zaidi ya asilimia 50–70 ya kemikali aina ya carcinogenic hydrocarbons kuliko mvutaji wa tumbaku.

Mtumiaji wa bangi hupumua kwa tabu sana kuliko yule anayevuta tumbaku ingawa wote wanaharibu mapafu, pamoja na kuwa na uwezekano mkubwa wa kukaribisha ugonjwa wa kansa.

Imebainika kuwa watu wanaovuta bangi wamekuwa wakisumbuliwa zaidi na matatizo mengi ya kiafya.
Watafiti wamegundua kuwa wavutaji wengi wa bangi wamekuwa hawana mahusiano mema na watu walionao karibu kwani wamekuwa chanzo cha matatizo kutokana na wao kuona kila wanachofanya ndiyo sahihi na cha wenzao si sahihi.@Pukudu


 
bangi ina faida nyingi sana nikianza kuzungumzia sintomaliza, ila moja wapo inakufanya ujue zaidi vituo vya polisi kuliko hata nyumba za ibada
 
Wanajamvi naombeni mnijuze, kuna madhara gani yanayoletwa na uvutaji wa kaya? mentally and physically, na kama kuna faida yake, wenye ujuzi na hili jamani tunaomba mtufunze nasi.

Sisi kwetu majani ya bangi ni mboga nzuri sana.
 
Wanajamvi naombeni mnijuze, kuna madhara gani yanayoletwa na uvutaji wa kaya? mentally and physically, na kama kuna faida yake, wenye ujuzi na hili jamani tunaomba mtufunze nasi.

Sorry nimekosea mlango napita tu ngoja waje wavutaji watakudadavulia kila kitu.
 
wachana na hayo bana, npo serious nataka kujua faida au hasara zake, polisi now days hawajihangaishi sana na wavuta bangi, labda uwe kwa maandamano M4C ndo utakujua sana polisi
 
kwenu Iringa? i heard about it, ntakutafuta unielekeze jinsi ya kupika, nataka fahamu ukiivuta kama ina madhara au faida ni zipi hizo.
 
Wakuu mwenye ujuzi na hii mambo jamani, a lot of movement zinaanza chini chini nchi nyingi hii kitu iwe legalized na ina watumiaji wengi sana inavosemekana, sasa nataka kujua kwanini inakatazwa na kwanini inatumika sana, haya nawasikilizia
 
kama wewe huna stress zozote! madawa yoyote ya kulevya hayana madhara kama utayatumia kiasi !
too much of anything is harmful, hata kama ni maji, chakula n.k (my classmate-Jamaican lady.)
 
•Faida
Mchuzi wa majani ya bangi ni dawa ya sikio,pia mchuzi wa majani ya bangi ukichanganya na maziwa ni nutrients nzuri sana kwa kuongeza kinga ya mwili,majani ya bangi pia ni mboga!!
•Hasara
~Kama haijakupenda waweza changanyikiwa
~Ukikamatwa na njagu lazima akupeleke umwelani na ni kesi ya madawa ya kulevya so unaweza ukala mvua
 
Inaongeza uweza wa kufikiria, kwa wengine inapunguza uwezo huo.. Inategemeana na kichwa ya mtu.
 
- bangi inatumika kupunguza maumivu makali ya mwili

- bangi inakufanya utambue uasilia wako. mfano watu wengi wanamudu kuficha/kutotambua uasilia wao wakati wanakuwa hawajavuta bangi lakini pindi wanapovuta bangi uasilia wao hujitokeza. ndio maana watu wanaovuta bangi hujipambanua tofauti tofauti hata kama wamevuta mche huohuo mmoja mfano
i). wapo wanaozubaa - hawa uasilia wao ni uzubavu
ii). wapo wanaokuwa wakatili - hawa uasilia wao ni ukatili
iii). wapo wanaocheka tuu - hawa ni uasilia wao ni ucheshi
iv). wapo ambao kitabu kinapanda class - hawa uasilia wao ni uginiasi
v). wapo wanaokuwa na busara -hawa uasilia wao ni busara (sikiliza ujumbe unaotoka kwenye "conscious reggae")
n.k.
 
Sisi kwetu majani ya bangi ni mboga nzuri sana.

Kwenu wapi, sema kwetu sehemu fulani bangi ni mboga nzuri sana kama ilivyo huko Njombe/makete enzi ya Tuntemeke Mesaka Nung`wa Sanga akiwa bungeni, alisema jimboni kwake bangi ni mboga, hivyo polisi waishie ktk mipaka ya wilaya yake, kwa hiyo ndani ya wilaya yake kukawa ni free zone ( as per Tuntemeke).
 
Wanajamvi naombeni mnijuze, kuna madhara gani yanayoletwa na uvutaji wa kaya? mentally and physically, na kama kuna faida yake, wenye ujuzi na hili jamani tunaomba mtufunze nasi.

Sijui kithungu ila kuna kijana amenisomea hapo nilipo-bold (faida)
FAIDA
MEDICAL USES

Some people find that marijuana combats the unpleasant symptoms associated with medical conditions. But the potential medical uses of marijuana are hard to assess, as there have been few clinical trials. Pure THC has been shown to improve appetite and prevent the severe weight loss associated with acquired immunodeficiency syndrome (AIDS), and it also reduces the nausea caused by cancer chemotherapy and radiation treatments. A synthetic version of THC sold under the brand name Marinol is available in capsule form as a prescription medicine in the United States for these uses. Compared to smoked marijuana, however, this drug is slower to provide symptom relief due to the time required for the drug to be absorbed into the bloodstream. Marijuana is also reported to have beneficial effects in treating pain and muscle spasms in patients with multiple sclerosis (MS). Many people who suffer from MS and other chronic diseases report that marijuana provides symptom relief when all other medications fail.

MADHARA

Madhara humo nilipo-bold kama nilivyoelekezwa na mtoto wa dada yangu anaejua kithungu


EFFECTS

Many users describe two phases of marijuana intoxication: initial stimulation, which includes giddiness and euphoria, followed by sedation and pleasant tranquility. Mood changes are often accompanied by altered perceptions of time and space. Thinking processes become disrupted by fragmentary ideas and memories. Many users report increased appetite, heightened sensory awareness, and general feelings of pleasure.


Negative effects of marijuana use can include confusion, acute panic reactions, anxiety attacks, fear, a sense of helplessness, and loss of self-control. Chronic marijuana users may develop amotivational syndrome characterized by passivity, decreased motivation, and preoccupation with taking drugs. Like alcohol intoxication, marijuana intoxication impairs judgment, comprehension, memory, speech, problem-solving ability, reaction time, and driving skills.


The effects of long-term marijuana use on the intellect have not been established, and there is no evidence that marijuana causes brain damage. Smoking marijuana can damage the lungs, however, and long-term use may increase the risk of lung cancer. Although marijuana is not physically addicting and no physical withdrawal symptoms occur when use is discontinued, psychological dependence develops in some 10 to 20 percent of long-term regular users





RASTAFARIAN wao wanatumia bangi kama sacrament
 
Kalimilo shukrani sana hizi habari nzuri sana kwangu bro
 
Sa cjui huyu jamaa uhalisia wake ni nini@godfreytajiri

dah! huyu mshikaji bora aache tu kutumia msuba manaake asilia yake ni uchizi!
watu wa dizaini hii ndio wale unasikia eti todi a.k.a bange imewapa uchizi.
 
marijuana-leaf.jpg



Marijuana is derived from the extract of hemp plant. Although the plant has several chemicals, the key ingredient that acts as the main mind altering substance is known as “delta 9-tetrahydrocannabinol” or THC. The strength of the herb is determined

by the concentration of THC present in the grass. The amount of THC can vary due to many reasons including the plant type, soil, weather, and time of harvest. Marijuana is usually smoked either in a pipe or water pipe. The weed is also used by rolling

loosely in cigarettes known as “joints” where the tobacco of the cigarette is replaced by the grass. Marijuana has a mild hallucinogenic property and the effect can be felt within a few minutes and peak in 10 to 30 minutes. However, the drug can

have serious side effects. Some of the most common side effects of marijuana include dry mouth, increased heart rate, impaired coordination and balance, and diminished short term memory. To know more on side effects of marijuana, read through this article.

Side Effects Of Marijuana

  • Smoking marijuana can have some serious side effects including lung cancer. Marijuana also increases the likelihood for accidents. Scientific studies have shown that 6 to 11 percent of fatal accidents are contributed by marijuana side effects.
  • Marijuana induces appetite, and the user ends up eating more. Sedentary lifestyle and increased eating habit may lead to weight gain.
  • Marijuana is most often smoked but can be eaten or steeped in tea to drink. When eaten in large quantities, marijuana toxins can induce toxic psychosis including hallucinations, delusions, and a loss of self identification.
  • Other side effects of smoking marijuana include physical problems like breathing difficulties and deteriorating physical abilities.
  • Regular smoking of marijuana induces higher risk of lung cancer, heart attacks, and strokes.
  • When the drug is used regularly, the drug can have a lethal effect on the brain. The natural chemical balance of the brain is disrupted affecting the pleasure centers and regulatory systems.
  • Marijuana also distorts the ability to learn, remember and adapt quickly to changes
  • Depression is another common side effect closely associated with marijuana usage.
  • The drug creates an addiction. More amount of marijuana is required to give the same euphoric feeling if it is abused for a long time. The addiction is a progressive disease and when the drug is made unavailable, obsessive thoughts take over the mind.
  • Addiction is identified as a compulsive, uncontrollable craving for the drug even with pending negative consequences.
  • Users often tend to refrain themselves from smoking for an important event like a job interview, but end up taking it just before the event. This happens when the user is completely taken over by the addiction of the drug.

Other Side Effects Of Marijuana


  • Impaired perception
  • Diminished short-term memory
  • Loss of concentration and coordination
  • Impaired judgment
  • Increased risk of accidents
  • Loss of motivation
  • Diminished inhibitions
  • Increased heart rate
  • Anxiety, panic attacks, and paranoia
  • Hallucinations
  • Damage to the respiratory, reproductive, and immune systems
  • Increased risk of cancer
  • Psychological dependency
Although marijuana can give a sense of pleasure for a few minutes, but the side effects of marijuana are often severe and can be life threatening at times.Marijuana Side Effects ? Side Effects Of Marijuana
 
Back
Top Bottom