Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maana ya...

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by MAMMAMIA, Dec 22, 2010.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,827
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  WanaJF, naomba msaada wa maneno haya:
  1. LIBENEKE
  2. MSAADA KATIKA TUTA/TUTANI

  Natanguliza shukurani - Asanteni
   
 2. Djunior

  Djunior Senior Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nini maana ya magumashi, sharobalo
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,866
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  1. Libeneke: Kwa ufahamu wangu neno ili ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya msimu), na maana yake ni Kung'ang'ania jambo bila sababu ya maana.

  2. Msaada katika Tuta/Tutani: Huu msemo umepatikana kipindi kile matuta ya barabarani ndio kwanza yamewekwa, abiria wengi wa mabasi ya daladala, walikuwa wakiomba msaada wa kushuka kwenye hayo matuta au jirani ya hayo matuta kwani mara zote mabasi yakifika karibia na hayo yalikuwa yakipunuza mwendo...!
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,866
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  Nadhani neno Magumashi ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya Msimu). Maana yake ni kitu cha Bandia (Fake)... Uongo, Utapeli.
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2013
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 48
  asante mkuu nimejua maana sasa,inabidi uwe unatufasilia maana huku uswazi hayo maneno wamegeuza lugha ya taifa
   
Loading...
Similar Threads - Nini maana Forum Date
Nini maana ya Samaki Pande? Jukwaa la Lugha Mar 19, 2016
Nini maana ya neno "kupuruka" Jukwaa la Lugha Mar 16, 2016
Nini maana ya hili neno "Mikoani" Jukwaa la Lugha Mar 14, 2016
Nini maana halisi ya fyoko? Jukwaa la Lugha Feb 23, 2016
Nini maana ya neno "MPOLE" Jukwaa la Lugha Feb 19, 2016

Share This Page