Nini maana ya wapambanaji??

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
HIVI MPAMBANAJI NI NANI? NI M VUA GAMBA,MVAA GAMBA JIPYA AU MTETEA WANYONGE??JANA NILIKUWA MAHALI NIMEPOZI NAJIMIMINIA KILIMANJARO KAMA KUMI NAMBILI HIVI NIKAMSIKIA NAPE NNAUYE ANASEMA ETI YEYE NI MPAMBANAJI NA KAMANDA WA UKWELI NA AKAENDA MBALI NA KUSEMA ETI KUVAA MAGWANDA SIO ISSUE, ISSUE NI KUWA NA MOYO WA KUPAMBANA KAMA YEYE ANAVYOPAMBANA NA MAPACHA WATATU NA MAFISADI WENGINE NDANI YA CHAMA CHA MAGAMBA

haaaa kumbe na NAPE nae mpambanaji basi na JK nae mpambanaji au???
 
Nape na jk na wenzake ndio wapambanaji wa ukweli,mkubali au mkatae
 
mara nyingi wanasema,majambazi wapambana na polisi.kwa hiyo ina maana majambazi nao ni wapambanaji,kwa hao uliowataja ni wapambanaji,ila wanapigania nn ndio tatizo,
 
HIVI MPAMBANAJI NI NANI? NI M VUA GAMBA,MVAA GAMBA JIPYA AU MTETEA WANYONGE??JANA NILIKUWA MAHALI NIMEPOZI NAJIMIMINIA KILIMANJARO KAMA KUMI NAMBILI HIVI NIKAMSIKIA NAPE NNAUYE ANASEMA ETI YEYE NI MPAMBANAJI NA KAMANDA WA UKWELI NA AKAENDA MBALI NA KUSEMA ETI KUVAA MAGWANDA SIO ISSUE, ISSUE NI KUWA NA MOYO WA KUPAMBANA KAMA YEYE ANAVYOPAMBANA NA MAPACHA WATATU NA MAFISADI WENGINE NDANI YA CHAMA CHA MAGAMBA

haaaa kumbe na NAPE nae mpambanaji basi na JK nae mpambanaji au???

Must you ask the obvious? Kila kitu kinajionyesha wazi kwamba these are the voice of reason and with this speed the party will rid itself of the evil pirits which were acting as a curse to it.
 
mara nyingi wanasema,majambazi wapambana na polisi.kwa hiyo ina maana majambazi nao ni wapambanaji,kwa hao uliowataja ni wapambanaji,ila wanapigania nn ndio tatizo,

Hii ni tafsiri finyu ya neno mpambanaji. Mpambanaji ni yule anayepigania kile anachoamini ni sahihi kwa umma.
 
Niliwahi msikia mbunge mmoja wa ccm akisema eti mpambanaji ni mtu anayeongea kwa jazba..
 
Mpambanaji means fighter. Kila mtu na kila kiumbe ni mpambanaji kwa hiyo neno hilo halina uzito sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom