Kishongo
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 932
- 64
Tarehe 21 February 2011 majira ya saa tano na robo mchana, nilimsikia Mbunge wa Arusha Mhe Godbless Lema akihojiwa na mwandishi wa habari wa Star TV juu ya kupunguza msongamano wa magari jijini Dar.
Mhe Lema alitoa pendekezo la kujengwa kwa 'Sky-overs'.
Ninahisi mbunge alimaanisha 'Fly-Overs' - au pengine hilo ni neno sahihi?
Kama alikosea, basi mlio karibu naye msaidieni ili aepukane na makosa kama haya.
Haipendezi kuona mbunge anachanganya lugha namna hii mbele ya tv.