Nini maana ya SIASA vs. UTAWALA vs. HUDUMA za Jamii

Homer

Member
May 26, 2011
99
22
Nasoma kwenye ippmedia, eti Dar mgawo wa maji kuendelezwa mpaka 2032 (Authority keen to end Dar water blues by end of 2032). That is a whole generation of 31 years!!!. With life expectancy at 46 yrs, JK na baraza lako la wasanii, mnakusudia kuua wangapi zaidi kwa KIPINDUPINDU?? Hizi roho zote zitakukulilieni huko peponi!!! Hayaishii hapa hapa duniani.

Umeme, usafiri, etc - mambo yale yale - Pwagu nikuPwague.

Hivi CHAMA tawala hakijui kwamba kimekabidhiwa SERIKALI ili kisimamie utoaji wa HUDUMA za jamii kama maji, umeme, usafiriri, nk??

Ni sawa CHAMA ni cha kisiasa kupiga porojo (na kuuza sera) ili wachaguliwe. Lakini wakipewa usukani wa kukusanya kodi kazi yao ni kusimamia watendaji wa SERIKALI kuboresha huduma za wananchi. Tatizo sasa wao (SERIKALI na CCM) wanajikusanyia hiyo kodi (na misaada kutoka ulaya) WANAKULA wao kwa wao juu juu kuku kwa mrija, huku wananchi wanaambulia mabaki/makombo (crumbs or stinky leftovers comes to mind)!

Wananchi wangefundishwa kwanza tofauti ya SERIKALI (polisi, maDC/RC, n.k.), wakishajua watakuwa na si WOGA wa kuwatosa viongozi wa CCM na vibaraka wao SERIKALINI! Inaudhi kweli. Nakwenda mtaani kusaka KURA, lazima tugawane Ugali la sivyo namwaga mboga!!!!

Watch this space.:juggle:
 
Back
Top Bottom