Nini maana ya shikamoo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by emkey, Mar 20, 2012.

 1. e

  emkey JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Wanajf, naomba mnijuze jambo hili, kila cku tunatoa shikamoo kwa wa2 waliotuzidi umri. cjapata mantiki ya neno hili, je hii ni kuonyesha heshima au ni kwa mazoea tu.

  naomba kuwasilisha.
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,132
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  shikamoo maana yake niko chini ya miguu yako ilitumiwa na waarabu watumwa waliitumia kuwasalimu mabwana wao
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,560
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Sijui kwa nini tunaitumia.Mi nadhani ukimwamkia mtu,habari yako! au habari ya saa hizi! Heshima haitapungua.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,763
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  niko chini ya miguu yako
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo chini ya miguu yako?
  Hayo ni maneno wameweka wazee wetu ili kupaka rangi shikamoo.
  Mie naamini tafsiri yake ni hii
  Shika=Shika
  Moo=Kuna herufi moja mwanzo wameifuta.
  OTIS
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,545
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kibongo bongo wanasema unamchukulia kama rika lako
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,545
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huo ni uhuni
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its a theory mkuu
  Leta ya kwako na sio kuaminishwa uongo
  OTIS
   

Share This Page