Nini maana ya Neno BARUBARU?

Barubaru ina maana sawa na barobaro

Kijana shababi mwenye nguvu tele
 
Last edited by a moderator:
Barubaru ni kijana wa kiume aliye balehe hivi karibuni na bado hajaoa, ni sawa na Mwari kwa wa kike.
 
Back
Top Bottom