Nini maana ya kutumia nguvu katika mahusiano?

lalisa

Member
Aug 18, 2013
22
11
Wapedwa,

Mtu anapokwambia unatumia nguvu sana katika mahusiano, unafikiri anamaanisha nini?.

Msaada plz
 
Wapedwa mtu anapokwambia unatumia nguvu sana ktk mahusiano, unafikir anamaanisha nini, msaada plz

Mda wako mwingi unaendekeza mapenz... yan mapenz yana ku run kwa asilimia kubwaa
 
Last edited by a moderator:
Unaruka stages za mahusiano

ni kama una shamba unamwagilia kupita kiasi au unaziddisha mbolea
 
Kwanza unatakiwa ujue maana halisi ya mahusiano.kila mtu anaweza akawa na maana yake, lakin maana yangu fupi inasema; mahusiano ni ukaribu kati ya mtu,kikundi au nchi moja na nyingine ambao una lengo la kutimiza jambo fulani. Jambo hilo linaweza likawa la kibiashara, kisiasa, kimapenzi au jambo lolote lilokusudiwa kufanywa baina ya watu hao. Katika mapenzi mahusiano ni stage miongoni mwa stage ili kuyafikia mapenzi. Sasa tukija kwenye mada yako, mtu anapokwambia unatumia nguvu katika mahusiano, ana maana unalazimisha kuwa karibu naye! Na kama mtu hataki kuwa karibu nawe mana yake hana haja nawe. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom