hawana maana hawa viumbe
sasa bibie siku moja nilimwambia ninampango wa kutoka homu nianze kujitegemea, akaniambia nina haraka ya nini wakati bado natakiwa kujipanga na kujijenga kwanza?. sasa nikawa najiuliza hivi vitu maana yake nini haswa?
nikaona isiwe tabu wacha nilipeleke hili suala JF watanisaidia kunielimisha.
naombeni mawazo yenu kujijenga na kujipanga shemeji/ wifi yenu alikua anamaanisha nini. msaada plz
nawasilisha.
Mie naomba kukuuliza kwanza:
1. hapo kwa wazazi unajitegemea?
2. umeishanunua vitu vyako mfano fenicha nk?
3. wazazi wanakutegemea wewe au wewe ndo unawategemea?
.
-wazazi ni wafanyakazi wote 2, so hawanitegemei kwa lolote
-sijanunua, ila nina account benk maalam kwa kuanzia life, mpaka sasa nina vijisenti vya kununua vitu vyote vya ndani, si nilishasema badala ya kununua kitanda basi pesa ya kitanda nimedumbukiza benki.
-wazazi hawanitegemei wala mie siwategemei zaidi ya kulala pale na kula mara moja kwa siku!.
naomba mawazo yako sasa!
Ni vizuri kujifariji, though.................., 'kunguru hageuki njiwa'
Jitahidi mwana. Jipange, Jijenge kama mwandani to be alivyosema.
Good luck.
sasa bibie siku moja nilimwambia ninampango wa kutoka homu nianze kujitegemea, akaniambia nina haraka ya nini wakati bado natakiwa kujipanga na kujijenga kwanza?. sasa nikawa najiuliza hivi vitu maana yake nini haswa?
atapata tabu sana..wacha hiyo maneno wewe, kwa hiyo wataka kuja kupatia raha kwangu kirahisi rahisi?. kama yupo tayari kuwa na mie kwa shida na raha ndio maana nataka nianze nae from scratch, sio anaingia ndani kuja kupata raha, amaa