Nini maana ya kujipanga na kujijenga?

Huyo kaka hana penzi na wewe kwani kama anakupenda katika shida na raha basi matajipanga na kujijenga mkiwa wote, wengine tuliambiwa hivyo na baadaye ndege pruchuuuuu!

aiseee, wewe yani uko sawa kabisaaa!
yani mi mwenyewe nilikua na mawazo hayo hayo, kwamba maisha tuanze sote, si anafanya kazi?, then tukae tupange nini cha kufanya, sio lazima mpaka ndoa, naweza kupanga na tukaanza maisha hata kama na yeye ana kwake, ila mawazo tu yatatosha kuwa pamoja
 
Kujipanga ni kuweka mipango au mikakati ya muda mfupi na ya muda mrefu kiasi kwamba mtakapoondoka hapo kwa wazazi mnaanza kutekeleza 1, 2, 3, nk bila kusita wala kupoteza wakati. Katika kujipanga mnahitaji kukaa kitako na kufanya upembuzi ma masuala mbalimbali kabla ya kuanza kuyatekeleza. Na hiyo siyo kazi rahisi. Na kwa kuwa mnatoka nyumbani kwa wazazi, kujipanga kunamaanisha pia kuona hali itakuwaje pale nyumbani baada ya nyinyi kuondoka kwani maisha ya wazee kwa namna fulani lazima yatabadilika kidogo kwa kutoka kwenu.
Kujijenga ndiyo huko kuwa na makazi, samani za nyumba, usafiri, miradi ya familia, nk. Ni kutekeleza mipango yenu ya muda mrefu na muda mfupi hatua kwa hatua.
 
Kwa hiyo shoga yetu kumwambia jamaa kuwa ajipange kwanza alikuwa sahihi maake hoja ya msingi ipo hapo.Shemeji yetu kamwambia shoga yetu kuwa nataka kupanga shosty akamwambia asiwe na haraka ajipange kwanza.Je shosty yuko sahihi kwa mtazamo wako.?
 
shem unajua mie tayari nilishakua na mawazo kama vile BabuYao alivyosema, tayari nilishakua na malengo, sasa siwezi kuanza ku-execute malengo yangu nikiwa home, ndio maana niliamua niliona badala ya kununua kitanda nilichofanya ni kusave hela ya kununua kitanda, sijui unanipata hapo?
sasa naona muda muafaka umefika wa mimi kwenda kuanza maisha, ndio maana nikawa namshirikisha ili hata nikisema nitafute nyumba ya kupanga basi nimuulize anapendelea labda maeneo gani etc
 
nilitaka kwanza kuja hapa jamvini, kizuri kula na nduguyo mazee!, JF ni ndugu zangu, sasa nikirudi leo lazima aniambie alikua anamaanisha nini.

Weeeeeee husiende kurusha ngumi uko ukakosa mazima ukaanza kuilaumu Jf kumbe approach yako tu
 
shem unajua mie tayari nilishakua na mawazo kama vile BabuYao alivyosema, tayari nilishakua na malengo, sasa siwezi kuanza ku-execute malengo yangu nikiwa home, ndio maana niliamua niliona badala ya kununua kitanda nilichofanya ni kusave hela ya kununua kitanda, sijui unanipata hapo?
sasa naona muda muafaka umefika wa mimi kwenda kuanza maisha, ndio maana nikawa namshirikisha ili hata nikisema nitafute nyumba ya kupanga basi nimuulize anapendelea labda maeneo gani etc

Nashukuru ndugu yangu George. nilichokuwa namuuliza hapo juu shosty Babuyao ni kwamba kwahiyo ulichofanyiwa na mpenzio ni sahihi?kama siyo sahihi kwa nini hakukuuliza na kutoa comment zako ili mfikie muafaka mbali na kusema bado mapema mno?Kwa hiyo hata mimi nitaungana na wachangiaji kuwa anakutega kwa kuwa ilibidi kabla hajakukatisha tamaa akusapport.au muweke mawazo sawa ili muwe na mutual agreement kwenye maisha yenu ya baadae
 
shem unajua mie tayari nilishakua na mawazo kama vile BabuYao alivyosema, tayari nilishakua na malengo, sasa siwezi kuanza ku-execute malengo yangu nikiwa home, ndio maana niliamua niliona badala ya kununua kitanda nilichofanya ni kusave hela ya kununua kitanda, sijui unanipata hapo?
sasa naona muda muafaka umefika wa mimi kwenda kuanza maisha, ndio maana nikawa namshirikisha ili hata nikisema nitafute nyumba ya kupanga basi nimuulize anapendelea labda maeneo gani etc
Hebu sikia: mtoto amezoea kuishi kwa wakwe zake. Anaogopa kwenda kuishi mbali nao. Yaonekana wanampenda sana.

Pili, kwako itakuwa ngumu sana kujipanga na kujijenga ukiwa kwa wazazi ukijua kwamba kujijenga hakuna mwisho, ni kwa maisha yote. Naye anasema mpaka mjipange na kujijenga ndo muhame kwa wazee. Kwa maneno mengine hana mpango wa haraka wa kuondoka pale nyumbani. Na atakapoondoka pale anataka akaanze maisha akiwa mwanamke "kamili" asiye kosa kitu kwani vyote vipo. Huyo ni mgumu kidogo. Jaribu kuongea naye kiundani. Au pengine hakuamini. Akikutazama anaona afadhali a-buy time kidogo aone msimamo wako, na mambo yako yatakuwaje. Ongea naye zaidi mkuu.
 
Anataka umpe a 5 -10 yr detailed strategic plan!!!!! sisi madada hatutaki taabu eti eh!!!
 
mkuu wote tunakaa kwa wazazi wetu(kila mtu kwao), ila ni wafanyakazi sehemu tofauti tofauti.
sasa ndio hivyo nataka nikaanze life
NASHUKURU SANA KWA MAWAZO YAKO
 
Anataka umpe a 5 -10 yr detailed strategic plan!!!!! sisi madada hatutaki taabu eti eh!!!

wacha hiyo maneno wewe, kwa hiyo wataka kuja kupatia raha kwangu kirahisi rahisi?. kama yupo tayari kuwa na mie kwa shida na raha ndio maana nataka nianze nae from scratch, sio anaingia ndani kuja kupata raha, amaa
 
unaniangusha mkuu, huyo binti mi ndo my wife wangu to be!, so sometimes tukiwa tumechill tunabadilishana mawazo tunajadili vitu kama hivyo. ndio maana nilimuuliza anipe ushauri.
mi nahisi hawa mademu sijui wanataka mtu uwe na gari kabisa au nyumba?, duh
icon9.gif

Mzee George, usimsikilize huyo msanii Sipo, huyo ndo zake bana!
Unajua kwamba asilimia 85 ya wanaume huwa wanapata ushauri toka kwa wake zao? Hata mimi nasikiliza sana ushauri wa mke wangu, na niko mbali sana.
Cha msingi we muulize anataka ujipange katika meneo au idara zipi, ndipo mhamie maeneo mengine.
 
Mkuu PakaJimmy umeninukuu vibaya
ninachomaanisha hapa ni kwamba huyu jamaa akimsikiliza sana huyu mchumba wake ambaye sio mke wake ni kweli kuwa at somepoint atamlositisha

Wewe exerience yako ni tofauti umesema mke, kama ni mke ni muhimu sana kumsikiliza kwenye mipango ya maendeleo. Lakini kumbuka huyu wa Georgr sio mke wake bado ni wachumba tu hawakawii kubadili mawazo hawa wananwake kabla hawajaolewa.

Lakini hata ushauri wako ni mzuri pia kaka, ila ukanushe sio habari zangu hizi bana, ni mtazamo wangu tu kwenye hili, sio lazima niwe sahihi
 
Halafu PakaJimmy
inabidi unisafishe mie sio msanii bwana, mimi ni mtu na heshima zangu bwana mbona unataka kunishushia status yangu kwenye jamii bwana.
 
Mkuu George,

Mi ushauri wangu kwanza ni kwamba umefanya vema kumshirikisha, pili,, madamu una mipango tayari, mwambia unafikiria kufanya a, b, c, akupe mawazo yake, na sio tu kusema kuwa ujipange kwanza

Nikwambia kitu, mwanaume lazima uwe independet..kukaa na wazee nako michosho, so ulivofikiria ni sahihi kabisa. Huyo GF mshirikishe na ikibidi gharama mchangie wote si ndo mnaanza kuwa mwili mmoja? unless bado mnajaribu jaribu.

Maisha ni kukabiliana nayo tu
 
mabibi na mabwana!,
mie bwana nina shemeji/ wifi yenu ambaye nina kama mwaka mmoja hivi tangu tuanze mahusiano, ninaishi homu kwa dingi (servant quarter! umri wangu ni 25-27 bado nipo nipo!!), nina miaka 2 tangu nimalize chuo na mwaka mmoja na nusu tangu nianze kazi kampuni fulani.
sasa bibie siku moja nilimwambia ninampango wa kutoka homu nianze kujitegemea, akaniambia nina haraka ya nini wakati bado natakiwa kujipanga na kujijenga kwanza?. sasa nikawa najiuliza hivi vitu maana yake nini haswa?
nikaona isiwe tabu wacha nilipeleke hili suala JF watanisaidia kunielimisha.
naombeni mawazo yenu kujijenga na kujipanga shemeji/ wifi yenu alikua anamaanisha nini. msaada plz

nawasilisha.

Simple, 'She is Not that into you'
 
Simple, 'She is Not that into you'

how?, if so then i want to change her to be into me. no one is perfect.
hakuna barabara ndefu isiyo na kona bana, na si watu wote wamekamilika, usione watu wanafikisha miaka 50 ya ndoa ukadhani ndani mambo shwari, walianzia hivi hivi. hata mbuyu ulianza kama mchicha ndugu!!
 
Mkuu George_porjie huyo bint anakuyeyusha,wewe unaweza panga awe wife to be but yeye hayuko huko,kama alivyosema mchangiaji mmoja may be bint anataka unune gari kwanza,ujenge nyumba yako lakini atakuwa hayuko sahihi,kwani waliooana wote wana magari au wako kwenye nyumba zao?,yeye awe mvumilivu hivyo vitu vitakuja polepole mkiwa pamoja,so kwenye masuala hayo ya ndoa hakuna haja sana ya kijipanga provided wewe una kazi
 
Ni vizuri kujifariji, though.................., 'kunguru hageuki njiwa'

Jitahidi mwana. Jipange, Jijenge kama mwandani to be alivyosema.

Good luck.
 
Mkuu George_porjie huyo bint anakuyeyusha,wewe unaweza panga awe wife to be but yeye hayuko huko,kama alivyosema mchangiaji mmoja may be bint anataka unune gari kwanza,ujenge nyumba yako lakini atakuwa hayuko sahihi,kwani waliooana wote wana magari au wako kwenye nyumba zao?,yeye awe mvumilivu hivyo vitu vitakuja polepole mkiwa pamoja,so kwenye masuala hayo ya ndoa hakuna haja sana ya kijipanga provided wewe una kazi

naomba niku-PM.
 
Back
Top Bottom