jamani ndugu zangu najua kuwa hapa jf tumesheni wataalam ktk nyanja zote.naomba msaada wa kitu kinachoitwa traffic count,hii nafasi ilitangazwa na ilikuwa mahususi kwa wahitimu wa udsm niliomba na nimeitwa kwenye interview lakini kiukweli hata sijui inahusika na nini.Nijuzeni jamani mwenye uelewa na hiki kitu