KIBURUDISHO JF-Expert Member Mar 28, 2011 1,002 274 Sep 7, 2011 #1 Nisaidieni wanaJF wenzangu kwenye hizi tv za LCD ambazo baadhi unakuta wameandika full hd na ready hd ni nini tofauti zake??
Nisaidieni wanaJF wenzangu kwenye hizi tv za LCD ambazo baadhi unakuta wameandika full hd na ready hd ni nini tofauti zake??
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,791 Sep 7, 2011 #2 Kuna rafiki yangu anaitwa 3D.....akiona hii.....atakusaidia mara moja....ngoja aje....