Nini la kufanya kiongozi anapoeleza uongo kwajambo lenye maslahi makubwa kitaifa?

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Ndugu zangu Watz naona si wakati tena wa kuwa wavivu wa kufikiri na kutokuwa na muelekeo sahihi wa power ya wananchi, zidi ya taarifa za uongo juu ya mambo yanayoadhili maisha yetu na maendeleo ya Taifa letu. Yapo mambo kadhaa ya kutolea mfano lkn ulio wa karibu ni hili swala la mgao wa umeme ambalo waziri mwenyedhamana nalo, week chache zilizopita alitutangazia kuwa halitakuwepo tena lkn hali ikawa mbaya kuzidi.
Nini tufanye viongozi wetu wanaposhindwa kutimiza wajibu wao na kutumia njia ya kutueleza uongo ilikutulidhisha! Je tunahitaji kuridhishwa ama tunahitaji ufumbuzi?
Jambo hili nalileta kwenu maana naona hii ndio moja ya approach ya serikali yetu ya kututawala. Swali ni nini ufumbuzi wa haraka kwa kutumia nguvu ya umma ??
 
Politicians are like diapers. They both need changing regularly and for the same reason.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom