Nini kiwepo au kisiwepo kwenye katiba mpya tunayoidai?...MAONI

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,837
262
Naomba wote tukae tutafakari mambo muhimu tunayotaka yawe kwenye katiba mpya. Ni kweli kwa sasa tuna nia moja ambayo ni kupata katiba mpya. Basi na tutoe mapendekezo, na hii thread mwisho wa siku , au wakati muafaka ujapo tuwe tuna idea ni nini tuna taka, watu watoe maoni yao. Kwa kuanza mi napendekeza yafuatayo:

1. Katiba mpya isiruhusu mtu moja kuwa na vyeo zaidi ya viwili serikalini, kwa mfano , mkuu wa mkoa kuwa mbunge, na kuwa waziri etc. naamini kuna watu wengi sana tanzaniaa wanaohitaji kazi.
2. Tume ya uchaguzi iwe huru..
3........................................
4..........................................
5..................................................
Haya shime tuendelee wandugu ili kila mtu aseme kama mkakati wa kukusanya maoni ya wananchi katiba mpya iweje.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom