Nini kitatokea nchini ili rais asitishe ziara?

rais hajali tena..ile move ya kuja kwenye msiba wa kanumba ni kutafuta huruma kwa wananchi waliokuwa wengi..this guy dsnt give a damn, wala hashtushwi. viongozi wa nnje wakiwa na crisis ya kiasi hiuki,wanakubali kujiuzuluj na kupisha wengine..sisi wa africa tunang'ang'ania tu..
 
sikuwahi kufikiri hata siku moja ndoo zenye udongo kugeuka shamba la nyanya zenye ubora wa juu.


hakwenda kukagua nyanya peke yake alikwenda kwenye mkutano wa uwekezaji lakini zaidi ulikiona kilimo cha nyanya kinacholimwa kwenye makopo/ ndoo?

Hii inaonyesha kwamba hata watu wa kwenye kichanga au udongo usio na rutuba wanaweza kulima kama udongo utachukuliwa sehemu nyingine ya nchi.
HII SIO AJABU MAMA P HUko Uholanzi kuna wakulima wa nyanya wanaishi kwenye maflat (magorofa) wanalima nyanya kwenye ndoo kwa siku wakulima hao wavuna kilo nyingi na kuziuza kwenye masupa market kama wewe na rais mlikuwa hamjui sie watu wa kawaida sana tunalijua na wala si maajabu ya dunia kama unafikiri
 
hakwenda kukagua nyanya peke yake alikwenda kwenye mkutano wa uwekezaji lakini zaidi ulikiona kilimo cha nyanya kinacholimwa kwenye makopo/ ndoo?

.

Wabongo tumefikishwa hapo - wakiishasema UWEKEZAJI basi roho zinakuwa laini!!!
 
LABDA JESHI LIMWAMBIE HUKO HUKO..ULIKO USIRUDI! ATASHIKA ADABU. Kwa kuwa akina SHIMBO NA WENZAKE WAKUU JESHINI AKIWEMO MKUU WA MAJESHI ni maswahiba hakuna kinachoweza kufanywa na majeshi yetu. Suluhisho ni either askari wa vyeo vya chini waasi kama wanavyo fanya wenzao wa nchi nyingine, au wananchi wanye machungu na nchi hii tuingie msituni tuanzishe mapambano. Hapa tulipo ni kama tumevamiwa kutokea ndani na tunaliwa vilivyo majeshi yakiangalia. Bora kuvamiwa kutokea nje. Huu uvamizi wa magamba ni wa aina yake ambapo majeshi ya ulinzi wa Tanzania yamegeuka kuwa majeshi ya ulinzi wa mafisadi.
 
lazima uwe hamnazo kama wewe unatembelea rafiki zako tu
then wao hawakutembelei....
 
I was thinking akifa yeye ndo safari zitaisha..! Hv hawa wachawi wa tanga, sumbawanga na kwingneko hawawezi kuiloga ndege atakayokuwa amepanda ikadumbukia baharini akakufilia mbali?
 
Harusi ya Hasheem Thabit ikifanyika sinza kesho, mapema sana presidaa atakwea pipa kurudi bongo.
 
Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu aliahirisha ziara ughaibuni kwa sababu ya kifo cha kanumba anashindwa nini kurudi nyumbani kutatua matatizo yote haya?
Mbayu wayu
 
Back
Top Bottom