Nini kitatokea endapo Serikali ya Tanzania itatangaza kufilisika??

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
..Kwa wale Wataalamu wa Uchumi hebu tusaidieni,
Zipo Taarfa zisizo rasmi, kwamba Serikali ya Tanzania ipo taabani kifedha, Kwamba Ukomo wake wa kukopa umekaribia mwisho.
Sasa endapo itatokea Waziri wa Fedha au Gavana wa Benki Kuu watangaze kwamba Serikali imefilisika, Je ni nini kitatokea?, na nini kitafanyika kunusuru hali hio?
 
itaanza kuuza rasilimali zake kwa kasi zaidi na kwa bei ya kutupa ili kuhakikisha maisha yanasonga kama kawaida...
 
Mafisadi wameifilisi Serikali hivyo kama nchi imefilisika, mali za mafisadi zishikwe na akaunti zako kunyonywa.

Wengi wengi tumepata listi za mafisadi na mali zao hapa JF.
 
Watazidi kupoteza wawekezaji hence watazidi kuyumba na pia hawatoaminika hata wakitaka kukopa maana hawatakua na uwezo wa kurefund madeni
 
Bado sijapata jibu la kitaalamu la kiuchumi. Nataka kufahamu ikitokea tukafilisika, vyombo vya Fedha vya Bretton Woods i.e IMF au World Bank ndo watakuja kutuokoa??, au Serikali itabinya/kubana matumizi yake kwa style ipi?, kupunguza wafanyakazi?, kufuta posho?.
Hakuna waliosoma Uchumi humu?
 
Serikali ya chama cha magamba imetumia pesa nyingi sana kwenye kampeni za uchaguzi.
Hayo ndio matokeo ya kutaka kung'ang'ania madaraka hata pale wananchi wanapokuwa hawawataki. Kuhonga, kununua kura. Matokeo yake wananchi wa kawaida wanaumia
 
Itauza ardhi yote ya nchi pamoja na wananchi kwa wawekezaji, ili ipate fedha za kuendeshea sirikali.
 
Google great depression events; nchi zote za ulaya zilifisika kutokana na vita II ya dunia ilibidi wakopeshwe na US; hadi leo nchi hizo zinadaiwa na reserve bank of america ambayo in fact ni private company owned jews elites

In case of Tanzania options ziko tatu;
a. Kukopa kwa nchi zingine mfano US, Saudia, au China ili serikali iendelee kuishi

b. Kuuza resources zetu madini, ardhi, etc kwa muda maalum hadi hali itakapotengamaa

c. Kupunguza matumizi, kujifunga mkanda kufukuza wafanyakazi wa serikali na kupeleka madaraka vijijini (autonomy) wanawalipa wenyewe walimu wao, shule zao, barabara zao...
 
Mkuu hebu dadavua hapo (a) na (b), ukizingatia Ukomo wa kukopa nao umefikia mwisho, na kuhusu kuuza resources, hii imekaaje? ni sahihi kweli
 
Kwa upande wa wananchi mambo itakuwa mbaya,wananchi wanaleta revolution kubwa ambayo itaweza kupelekea tuwe dependent forever.
 
Back
Top Bottom