Nini kipo nyuma ya Pan African energy

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Taarifa zinazidi kutiririka juu ya Ufisadi
Imagine.kampuni ya Pan African energy ilijirudishia zaidi ya dola milioni 40 bila eti serikali kujua.kampuni hii imesajiliwa mauritius na visiwa vya jersey.inauza hisa ktk soko la hisa la canada...kwa hili naamini kabisa kuwa kampuni hii ni ya mafisadi nambari wani tanzania..ndo maana nasema kuwa NCHI IMEKUFA.IMEOZA.INANUKA!
 
waliotoa siku 100 kwa serikali kusepa bila masharti si wajinga wanaona huo upuuzi unachekewa chekewa tuu
 
Back
Top Bottom