Nini kipimo cha umaskini?

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Watu waishio kwa chini ya dola 1 kwa siku ndio husemekana maskini sana. Hii nimeisikia tangu dola 1 ikiwa sawa na shilingi 800. Leo hii dola 1 ni sawa na sh 1600, je kuishi chini ya dola 1 bado ni kipimo cha umaskini uliokithiri? Au pengine kama watanzania tunapaswa kuja na kigezo kingine ili tunapopambana na umaskini tuweze kujipima kwa kipimo chetu wenyewe.
 
kikwete pia hajui kipimo cha umaskini, nafikiri sasa badala ya kufikiria dola1 tufikirie na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu, hicho ndo kitakuwa kipimo kizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom