Nini Kinawafanya vijana kuwa mashoga?

Mbona daktari hakutoa sample size aliyochukuwa ni ngapi? Na labda akalinganisha katika sample ya mashoga wa Tanganyika ni asilimia fulani ndio HIV positive na wa Zanzibar ni asilimia fulani.

Haya maelezo nusu nusu ndio yanatupa wasiwasi.

Lete dataaaaaaaa
 
Ishakuwa siasa sasa za ubara na uzenj lakini kote huko ni kuzunguka tu ukweli unabaki palepale Zenj mashoga wa kumwaga ikifuatia na Tanga then Dar lakini hata Dar mashoga wengi wanahamia wakitokea Zenj,shauri yenu endelezeni huo mudebwedo na shughuli mtaiona
 
Ukweli ni kwamba, watu wengi ni bisexuals , wengi wao wana chagua kuwa straigh ila , bado wanakua na matamanio ya same sex , sasa kisiri wanafanya uhomosexual .

Hao bisexual ndio chanzo kikubwa cha kuingiza walio straight kwenye vitendo vya kishoga, kwa kutumia pesa.

Wengi walio straights wana fanya vitendo vya kishoga lakini sio mashoga, hii kutokana na hali halisi ua uchumi na tamaa pia.Hakuna suala la kua na hormone za kike .
 
Sioni sababu ya kuifanya habari hii kama issue kama wengi wanavyotaka iwe hata kunasibisha sehemu na tabia za watu wa sehemu fulani.

Hii ni habari ya utafiti yenye kuonyesha tatizo katika jamii kama matatizo mengine yote na wala haifanyi kuwa jambo la kutupiana ke jeli.
Ni ukweli usiopingika kuwa vitendo vya kulawiti vimekuwa na chimbuko lake fukweni mwa bahari ya Afrika Mashariki zanzibar ikiwemo lakini gharama ya Umoja imelifanya tendo hili kuhamioa hata Bara na kama utajumuisha Mashoga wa Bara utaona kuwa wao ni wengi sana kuliko Zanzibar. Kilichofanyika katika utafiti huu ni kuangalia sehemu ambayo itawezekana kuwapata mashoga idadi kubwa kulingana na urahisi wa eneo (Ni tabu kufanya utafiti kwa kuchukua eneo kubwa kama bara). Utafiti huu haukusema hao mashoga ni asilimia ngapi katika idadi ya watu wa Zanzibar bali umeangalia idadi ya waathirika wa ukimwi tu.
Sasa tunapolichukulia suwala hili kiujumla na kuanza kuke je liana nafikiri si vyema. Ikiwa tunainasibisha Zanzibar yote na KakaPowa basi itakuwa rahisi kuinasibisha Bara na DadaPowa

lakini mambo ya Ushoga hayako tu Zanzibar tu peke yake yapo pia na Bara hayo mambo ya Ushoga ?


in African language of EAST AFRICA. Friday, August 31, 2007

******* sasa ruksa kufunga ndoa Iowa!

Groom & Groom

Bride & Bride!

Bibi Arusi na Bibi Arusi, Bwana Arusi na Bwana Arusi

Huko Iowa leo hao wapenda jinsia moja (*******) Gays/lesbos wamepewa ruksa na mahakama kufunga ndoa leo. Hata saa haijapita tayari wamekwishaanza kufunga ndoa. Huko Iowa mzoee mkuona wanaume wanapiga tongue kiss na wananume na wanawake wanapiga na wanawake.


Mahakama ya huko Iowa pia imesema kuwa ndoa si kati ya mwanaume na mwanamke tu. Haya sasa tungojee kusikia watu wamepewa ruksa kufnga ndoa na mbwa, farasi au mnyama mwingine.


Hapa kwetu Massachusetts wana ruksa tayari. Matokeo yake ni kuwa ******* wankimbilia toka states zingine hapa. Wananua condos na nymba hata iwe na bei gani kusudi wapate residency ya Massachusetts na wafunge ndoa. Na wengine wamefunga ndoa na kuomba talaka, Divorce.


Sehemu zingine hapa Massachusetts kama wewe si ******, basi ni shida kukaa maana kuna reverse discrimination, gari yako itachomwa moto au unaweza kupigwa. Sodom & Gomorrah!


Na huko makazini usiseme kitgu kibaya juu yao maana utafukuzwa kazi. Hapa kazini kwangu kuna dada fulani ni lesbo. Hajifichi, anavaa kama dume, anatembea kama dume, nywele anakata kidume, na anajitahidi kweli kuwa mwanaume. Ila ana suati laini ya kike, inamlkera kweli. Si mtu mbaya, ila anachoniudhi ni kuja na kutusimulia alikuwa anafanya nini na mpenzi wake, mpaka saa ngapi, walichoka saa ngapi, walifanya nini na nini. Mara sijui kamtamni mwanamke gani, mara nini. Mara nyingi inabidi nitoke nje kwa kushindwa kuvuimilia maongezi yake.


Lakini nimekwisha fanya kazi nao wengi na wengi ni watu poa sana hawana matatizo, wala hawasumbui watu. Na hata sisi watu straight tuko hivyo wengine, ni watu wazuri wengine wan matatizo, na wengine wanasimulia mambo yao mpaka nini na nini.


******************************************************************************


Judge Strikes Down Iowa Gay Marriage Ban
Friday August 31, 2007 1:31 PM

DES MOINES, Iowa (AP) - Less than two hours after a judge struck down Iowa's decade-old gay marriage ban, two Des Moines men applied for a marriage license as bride and groom, and county officials said they expected to see more same-sex couples doing the same on Friday.
`I started to cry because we so badly want to be able to be protected if something happens to one of us,'' said David Curtis Rethmeier, 29, who was listed as the bride on that first marriage form, with Gary Allen Seronko, 51, as his groom.

Polk County Judge Robert Hanson cleared the way for the two men on Thursday when he ruled that a state law allowing marriage only between a man and woman violated the constitutional rights of due process and equal protection.


The judge ordered local officials to process marriage licenses for the six gay couples who sued. With the ruling, gay couples across the state can now apply for a marriage license in the central-Iowa county.


County attorney John Sarcone said the county would appeal to the state Supreme Court, and he immediately sought a stay from Hanson that would prevent gay couples from seeking a marriage license until the appeal is resolved.
A hearing on the stay motion is likely next week, said Camilla Taylor, an attorney with Lambda Legal, a New York-based gay rights organization.

In the meantime, Deputy County Recorder Trish Umthun is taking calls from gay couples, five of them in the first hours after the judge filed his ruling Thursday afternoon.


The office's web site explaining how to apply for a marriage license still began with the words, ``Marriages in Iowa are between a male and a female ...,'' on Friday morning, but Umthun expected a rush of applications through the day. The marriage license approval process takes three business days.


Republican House Minority Leader Christopher Rants, said the ruling illustrates the need for a state constitutional amendment banning gay marriage.


``I can't believe this is happening in Iowa,'' Rants said. ``I guarantee you there will be a vote on this issue come January,'' when the Legislature convenes.


Gay marriage is legal in Massachusetts, and nine other states have approved spousal rights in some form for same-sex couples. Nearly all states have defined marriage as being solely between a man and a woman, and 27 states have such wording in their constitutions, according the National Conference of State Legislatures.

Dennis Johnson, the lawyer for the six gay couples who sued in 2005 after they were denied marriage licenses, had argued that Iowa has a long history of aggressively protecting civil rights in cases of race and gender.

The Defense of Marriage Act, which the Legislature passed in 1998 declaring marriage to be between one man and one woman, contradicts previous rulings regarding civil rights and is simply ``mean spirited,'' he said.

Roger J. Kuhle, an assistant Polk County attorney, argued that the issue is not for a judge to decide.http://swahilitime.blogspot.com/2007/08/*******-sasa-ruksa-kufunga-ndoa-iowa.html
 
wapewe elimu zaidi watabadilika tuuu! Mbona BUKOBA sasa ni salama walau!!! kwa nini tunashangilia eti acha wapukutikeee! kuweni na utu jamani... hata tukiwapa nafasi mtakuwa na mitizamo kama hiyo, watu wakitaka haki yao utasema acha walalamike wamejitakia!, nadhani uelewa wa wenzetu kule sehemu sio mkubwa saaana... wamepewe elimu ya kutosha na sio kuleta data tuuu wakati hakuna juhudi iliyofanyika kuwaelewesha! Haya mapesa ya Ukimwi yanaliwa saaana badala ya kutoa elimu kwa watu inasikitisha sana DR anathubutu kusema jamani ukimwi unaua lakini pesa yao tamuu ati sababu ana vikao kibao na allowance nyingi,
very sad!
 
Kinachoshangaza ni haya mambo kufanyika kanisani na kupewa baraka na baadhi ya makanisa in the name of love

Zanzbar ni nchi kama nyingine wanaweza wakawa na kasoro zao kama vile bara kuongoza kwa UKIMWI, haya yanatisha yanapo fanyika kwenye maeneo ya ibada na kupewa baraka na wakubwa
Delivered
 
4,000 waambukizwa VVU Kinondoni kwa miezi mitatu




Na Abdul Mitumba



28th December 2009


email.png

B-pepe



printer.png

Chapa



comment_bubble.png

Maoni








Ukimwi.jpg

Wakazi wa jiji wakiwa kwenye foleni ya kupima virusi kwa hiari



Kamati ya Kudhibiti Ukimwi Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imesema katika kipindi cha Julai hadi Septemba, mwaka huu, watu 4,071 wamegundulika kuambukizwa virusi vya Ukimwi.
Kati ya watu hao, 1,165 ni wanaume na 2,911 wanawake ambapo wote walipewa rufaa kwenda katika vituo vya kupatiwa dawa ya kupunguza makali ya VVU.
Idadi hiyo imetokana na watu 53,153 waliojitokeza kupima afya zao kwa hiari baada ya kupata ushauri, ambapo kati yao wanaume walikuwa 22,901 na wanawake ni 30,252.
Taarifa iliyotolewa na kamati kwa Madiwani wa Manispaa hiyo na Nipashe kupata nakala yake, inasema kati ya wote, watu 368 walipata rufaa wakatibiwe Kifua Kikuu na Ukoma huku wengine 664 wakipata huduma ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua.
Kuhusu huduma ya dawa za kupunguza makali ya VVU, taarifa inasema Manispaa ina jumla ya vituo 17 vyenye wagonjwa jumla ya 12,829 waliojiandikisha.
Hata hivyo, taarifa inasema kwa sasa wagonjwa wanaotumia dawa hizo ARVs ni 7,033 huku wengine wakiendelea na huduma za uchunguzi na ufuatiliaji na endapo CD4 zitashuka chini ya 200 wataanzishiwa dawa.
Kadhalika, taarifa hiyo iliyosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Lucy Kimoi, inasema katika kipindi hicho, jumla ya wagonjwa wenye VVU 4,693 wanaoishi majumbani walitembelewa.
"Kati yao 356 walipewa rufaa kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za afya, ikiwa ni pamoja na kupima VVU kwa hiari ambapo 79 kati yao walipata huduma ya kumkinga mtoto wakati wa kujifungua huku wengine 15 wakifariki dunia," imesema.
Katika kukabiliana na hali ya Ukimwi kwenye manispaa hiyo, Hazina imeipa Sh. milioni 109.9 ili kuimarisha vita dhidi ya kuenea kwake.
Kiasi hicho cha fedha kimeelekezwa kutumika katika kipindi cha mwaka mmoja ulioanza Julai 2009 hadi 2010.




CHANZO: NIPASHE


Jee waungwana hii imekaaje?
 
Kinachoshangaza ni haya mambo kufanyika kanisani na kupewa baraka na baadhi ya makanisa in the name of love

Zanzbar ni nchi kama nyingine wanaweza wakawa na kasoro zao kama vile bara kuongoza kwa UKIMWI, haya yanatisha yanapo fanyika kwenye maeneo ya ibada na kupewa baraka na wakubwa
Delivered

Naona unaanza udini.

Kwani Mashoga wa Kizanzibar wote ni Waislamu?
 
Hawa ni mambo yenyewe ya kujitakia so far wacha wanedelee kupopoana ndo asili yao hao
 
Zaidi ya watu 1,500 Zanzibar watumia dawa za kupunguza makal

Watu 1,562 Zanzibar wameanza kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (VVU) tangu kuanza kutolewa kwa dozi hizo Visiwani hapa.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Sultan Mohammed Mugheiry, alipokuwa akiwasilisha makadirio na matumzi ya bajeti ya Wizara hiyo katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea kisiwani Unguja

Amesema watu hao wamesajiliwa katika vituo mbalimbali vya afya ikiwemo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Mwembeladu, Kivunge, Bububu, Al-Rahma, Chake Chake, Wete na Micheweni

Aidha amesema jumla ya watu wazima 1,396 wamekuwa wakifika katika vituo vya afya kuchukua dozi za kupunguza makali wakiwemo wanawake 884 na wanaume 512.

Akasema watu wanaoishi na VVU 3,167 ambao wamesajiliwa kupitia hospitali za Unguja na Pemba , kati ya hao, wanawake ni 1,829, wanaume 1,024 na watoto 314

Waziri huyo amefafanua kuwa wizara yake inatarajia kupima watu 24,760 baada ya Serikali kununua makasha 979 ya dawa na vifaa vya kuchunguza ukimwi ambavyo vitatumika kwa kazi hiyo.

Aidha amesema katika kupambana na tatizo hilo, Wizara imeanzisha mradi wa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na tayari huduma hizo zimeanza kupatikana Unguja na Pemba .

Amesema Serikali imekuwa ikitoa huduma hizo katika vituo 29 ilivyoanzisha ambapo watu 23,468 walifanyiwa uchunguzi katika mikoa mitano ya Unguja na Pemba na kubainika kinamama 239 kuwa wameathirika na VVU.

“Mheshimiwa spika miongoni mwa changamoto zinazotukabili ni uhaba wa wafanyakazi wenye sifa za kukabiliana na mabadiliko ya kidunia juu ya maradhi ya ukimwi” akasema Waziri Mugheiry.

Hata hivyo, akasema Serikali itaendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya athari za maradhi hayo katika makundi mbali mbali likiwemo watu wanaofanya biashara za ukahaba pamoja na vijana wanaotumia dawa za kulevya ili kupunguza kuenea kwa maradhi hayo.

Waziri Mugheiry aliliomba Baraza la Wawakilishi kumuidhinishia shilingi bilioni 10 katika mwaka ujao wa fedha kwa ajili ya kazi za kawaida na mpango wa maendeleo katika sekta hiyo.

Chanzo nipashe
 
Nyinyi mnaoingiza ushabiki kwenye sensitive issue kama hii mnashangaza kweli, Ukimwi unamaliza nchi baada ya kuhjadili tatizo ni nini tunaingiza ubaguzi.

Tatizo hapa ni ukosefu wa kazi na hakuna kingine kwani vijana badala ya kufanya kazi wanakaa vijiweni muda mrefu sana bila kazi matokeo yake wanaanza tabia za kishoga, njia sahihi ni kurekebisha sera za serikali kuhusu vija na sio kuwakashifu kwani hata bara kuna pocket za ukimwi zinatisha sana.

Tafuteni data za nyamongo mara, baadhi ya pocket za TANZAM Highway na Visiwani Ukerewe muone ni jinsi gani nchi inateketea wakati nyinyi mnashangilia
Ushoga ni uchaguzi wa maisha wala haina uhusiano sana na kukosa kazi. Wengi tuu wanaojuhusisha hawafanyi hivyo kwa kuwa wanakosa hela ya kula ni jinsi wanavyojisikia au kuzoeshwa. Usitake kutuambia kuwa Mombasa nako kuna ukosefu wa kazi kiasi cha kupelekea watu hao kuwa wengi? Mbona wanaochukua hao mashoga ni watu wenye pesa zao.
Kuna mashoga wengi tuu hasa kwenye tasnia ya Fashion wana pesa nzuri tuu na wanaendelea na hiyo kitu. Halafu inashangaza sana Tanzania mtu anayechukua mashoga haesabiwi kuwa ni shoga! Hao walioko Zanzibar zidisha mara mbili. Basi kama ni hivyo huwa tunazidisha mara mbili idadi za wenzetu.
 
Mambo haya yameanza kushamiri Bongo na watendaji ni hao mafisadi wa Serikalini. Soon utawasikia wanaleta mswada wa kuwatambua kwenye vyombo vya kutungia Sheria. I mean soon......Angalia jinsi watoto wa kiume wanavyopenda kiduku, Angalia hao wanaojiita Mamoel wa kiume...ukiwatathmini utagundua tofauti. Kuhusu Zanzibar, Mombasa , Tanga, Dar es Salaam......Hata hao wahudumu wa kiume katika hoteli za kitalii wanalambwa sana. Tatizo umaskini.....wa fikra
 
siamini na utafiti huu wa huyo dokta uchwara wa kitanganyika.
sikatai zanzibar kama kuna mashoga lakini kusema ndio sehemu inayoongoza kwa mashoga hapa Tanzania sikweli tena sikweli.
Jamani kuweni wa kweli mbona hamuwi wa kweli kila kitu mnasukumwa na dini najua uyo dokta ansumbuliwa na ukabila na ugalatia nani asiejua kama Dar es salaam na Arusha zina mashoga mara zaidi 1000 kuliko zanzibar jamai acheni upuuzi katika tafiti mnafanya ufisadio mpaka taaluma Mungu awalani kwa hili.TUWENI WA KWELI KWA MASHOGA WATANGANYIKA MNAONGOZA KULIKO WAZNZ

:embarrassed:
Try to be reasonable...
 
Sidhani kama kwa wote ni tatizo la kujitakia. Kuna watu wamekuwa kwenyaestreets, (watoto yatima)wamekuwa raped, njaa, umasikini anajikuta anafanya mambo ambao hakudhamiria. Kwa wao ni njia rahisi sana ya kujipatia hela kama wanawake( prostitutes) Je ni kila mtu anaweza pata fifanyio-kununua au bure? Je ni kila mtu anajua juu ya ukimwi najinsi inavyoambukiza? Last month nilikutana na mtu, age 35 hajui ukimwi unavyoambukiza, very sad.
Why Zanzbar kwenye watu wachache kulinganisha na miji mingine Tanzania? Subject to reality hawa wadau wanapendelea mambo hayo
 
siamini na utafiti huu wa huyo dokta uchwara wa kitanganyika.
Sikatai zanzibar kama kuna mashoga lakini kusema ndio sehemu inayoongoza kwa mashoga hapa tanzania sikweli tena sikweli.
Jamani kuweni wa kweli mbona hamuwi wa kweli kila kitu mnasukumwa na dini najua uyo dokta ansumbuliwa na ukabila na ugalatia nani asiejua kama dar es salaam na arusha zina mashoga mara zaidi 1000 kuliko zanzibar jamai acheni upuuzi katika tafiti mnafanya ufisadio mpaka taaluma mungu awalani kwa hili.tuweni wa kweli kwa mashoga watanganyika mnaongoza kuliko waznz.
inawezekana wa dar wakawa wengi ,lakini hapa inaangaliwa ni watu wangaapi katika jamii wanajihusisha na tabia hiyo /kumbuka dsm ina watu karibu m4 zanzibar ni nwatu karibu m1 unapoliganisha maeneo hayo ni lazima uangalie kiwango cha %ya tatizo
 
KISIWA cha Unguja, kinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mashoga wanaoishi na virusi vya ukimwi.

Na Nora Damian

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Dk Subilaga Kasesela-Kaganda wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), alipokuwa akizungumza katika kongamano kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa wafanyabiashara ya ngono, mashoga na watumia dawa za kulevya.
SHOGA.JPG

Alisema Zanzibar ndio eneo lenye mambo ya ushoga hapa nchini na kwamba asilimia 12 ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi katika Kisiwa cha Unguja ni wale wanaojishughulisha na mambo hayo.

Alisema baadhi ya sababu zinazochangia kukua kwa tatizo hilo ni vishawishi, wazazi kuwa mbali na watoto wao, yatima wanaokosa malezi mazuri, watoto wa kiume kulelewa na mama kwa kipindi kirefu na mtoto wa kiume kupenda kuvaa mavazi ya kike.

Alisema sababu nyingine zinazochangia tatizo hilo ni mazingira ya shule za bweni, ambazo baadhi yake zina wanafunzi wa kiume pekee, mwanaume kuwa na homoni nyingi za kike na wanaume wengi kukaa sehemu moja kama jeshini na magerezani.

"Na wanawake wanaopenda kufanya ngono ya haja kubwa wanapaswa nao kujua kuwa ina hatari zaidi, kwa maana ya kupata maambukizo kuliko njia ya uke,"alisema Dk Kaganda.

Alisema utafiti umeonyesha kuwa asilimia sita ya Watanzania wanaishi na virusi vya ukimwi, wanawake wakiwa ndio waathirika wakubwa wa tatizo hilo.

Dk Kaganda alisema tatizo hilo liko zaidi katika maeneo ya mijini na ligawagusa mno watu wazima na wanawake wenye uwezo wa kufanya ngono na watoto wadogo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika la TAWIF lililoandaa kongamano hilo, Fransisca Matao alisema jamii inachangia kwa kiasi kikubwa watoto wengi kuwa mashoga kufuatia kuwanyanyapaa na kuwatenga.

Imetoka: Gazeti la Mwananchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom