MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Nyinyi mnaoingiza ushabiki kwenye sensitive issue kama hii mnashangaza kweli, Ukimwi unamaliza nchi baada ya kuhjadili tatizo ni nini tunaingiza ubaguzi.
Tatizo hapa ni ukosefu wa kazi na hakuna kingine kwani vijana badala ya kufanya kazi wanakaa vijiweni muda mrefu sana bila kazi matokeo yake wanaanza tabia za kishoga,njia sahihi ni kurekebisha sera za serikali kuhusu vija na sio kuwakashifu kwani hata bara kuna pocket za ukimwi zinatisha sana.
Tafuteni data za nyamongo mara, baadhi ya pocket za TANZAM Highway na Visiwani Ukerewe muone ni jinsi gani nchi inateketea wakati nyinyi mnashangilia
Kwa hiyo na wewe ikitokea ukakosa kazi uta jiingiza? Ajira halali zipo mkuu tatizo ni watu wengine wana chagua kazi. Sidhani kama kazi zoooote zime kosekana mpaka mtu ujiingize kwenye ushoga. If that is the excuse you give then unacho sema ni kwamba uvivu ndiyo husababisha wawe mashoga. Kwa nini wakae tu vijiweni? Huko ndipo kazi zinapo patikana? Remember an idol mind is the devil's workshop and God helps those who help themselves.