Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
- Thread starter
- #21
Jamni wakaka mnatusakama haya na nyie nn inasababisha kuwa na vibam***:A S clock:
Anzisha thread tukujibu basi
Jamni wakaka mnatusakama haya na nyie nn inasababisha kuwa na vibam***:A S clock:
Matiti kuanguka kunatokana na kunyonyesha sana; kuchezewachezewa bila mpango: kutoa mimba: Uwe wa kufahamu hayo!!!!
Bado sijapata jibu la uhakika, naona watu wanazunguka mbuyu tu.
Unamaanisha nini Charity?Kumbe wewe ndio MJ? dah!!! sikujua.
Unamaanisha nini Charity?
Jamni wakaka mnatusakama haya na nyie nn inasababisha kuwa na vibam***:A S clock:
matiti kuanguka ni hatua ktk ukuaji wa maumbile ya mwanamke, na hutofautiana kati ya mtu na mtu, mwanamke anapokuwa huanza kuota matiti wengine huwa makubwa sana au madogo. zipo sababu nyingi lakini kubwa ya kwanza ni akishika mimba matiti huanza kujiandaa kubeba maziwa napindi amalizapo matiti hayawezi kuwa kama awali, pili huyo mtumwingine bado mdogo lakini matiti yake ni makubwa kimaumbile, lakini pia usipo zaa matiti lazima yalale kutokana na umri
Matiti kuanguka kunatokana na kunyonyesha sana; kuchezewachezewa bila mpango: kutoa mimba: Uwe wa kufahamu hayo!!!!
Aisee wapo, wapo wengi tu tena wa dalasa la tano ,sita na kuendelea, matiti yamelaa kabisa na kusinyaa.
kinachoangusha matiti ya kinadada ni gravitional force yaani msichana anapokuwa matiti huwa makubwa hence huongeza uzito n lazima yaende chini according to gravitional force... Hii ndo sababu ya kisayansi mengine ni blah blah