si vizuri kujadili mambo binafsi ya mtu, Ila kwa sababu anataka uongozi wa wananchi lazima watu wamjadili kabla ya kumkabidhi.. Binafsi nimeingiwa na wasiwasi mkubwa kutokana na mwenendo wake na maadili ya Uongozi. ILA KAMA ASINGEKUWA ANATAKA UONGOZI TENA WA UWAKILISHI nisingekuwa na wasiwasi. maana ndio life style yake. HILI LA MSHAARA WA DOLA 10,000 KWA MWEZI NINA WASIWASI