Nini kinaendelea Star Tv? Haionekani kwenye Star times

Labda nadhani kwa kuwa sasa hivi tunalipia mpaka local tv wajamaa wameamua kuondoa na kumbuka kuna wakati walikuwa na mgogoro. Ninacho hisi kama hizi tv haitakubaliana kwa kusaini mikataba ya kibiashara kila local chanell itakuwa inaonekana kwenye kingamuzi chake chenyewe na lazima ulipie hivyo ukitaka uangalie local chanel kibao uwe na lundo la vingamuzi na uvilipie.
 
Mbona wametoa taarifa kupitia TV1 na station zingine kuwa kuna tatizo la ufundi?
kurasa zao za mtandaoni hawajaweka taarifa sasa ataendaje kuongeleaa mtandao mwngne maana fb na insta wanaambiwa mbona hampo hewan wamekaa kimya hawajibu

ila hawa wanamadeni sanaa ya kodi na hv mweshimiwa kasema kama unadaiwa ulipe na wao wanaisoma T 2015 JPM
 
Labda
 
Back
Top Bottom