Nini kinaendelea katika uchaguzi wa wazazi (CCM) Dodoma?

Huyo Abdalah Bulembo ndio nani? mwenye kumuelewa atujuze.

.....

Ni yule aliyegombea udiwani kata ya Kijitonyama (Mwenge) kwa tiketi ya CCM akashindwa vibaya na Athman Juma Uloleulole wa CHADEMA 2010.

Akamkatia rufaa eti mshindi alikosea jina na kwa rushwa matokeo yakatenguliwa hadi sasa kuna rufaa mahakama kuu, Akaja akamtungia sinema diwani mpinzani wake ya ubakaji hewa, mmsahau?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom