Nini kinachokushangaza kwenye hii picha?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Ndugu wadau JF.
Hii picha chini ni ndani ya ikulu ya Sierra Leone, kuna kitu cha kushangaza hapa ila naweza kuwa na mtazamo na watu wengine. Wa pili kutoka kulia ni Rais wa hiyo nchi Mh. Ernest Korma. Je kwa mtazamo wako, ni kitu gani kinakushangaza katika hii picha hiyo? Karibu.

DSC_0117.JPG
 
wawili wanamchekea mpiga picha na wawili wengine wanamawazo!
 
Photoshop

Nimeangalia Scale hazifanani kabisa
Huyo Jamaa wa kwanza kulia hawakuwepo kwenye 'ORIGINAL PICTURE'
For it to be original, jamaa wa kwanza kulia alitakiwa awe mrefu kuliko wa pili kulia (the president) cz yupo closer to the camera
Huyo 'European' amepachikwa pia hayupo kwenye original photo
Wametengeneza (Photo Editing/manipulation)
 
huyo mzungu viatu vyake hajapaka rangi......
hiyo TV hiyo miwaya inaning'inia...ikulu....oooh no....
tofauti ni kwamba....ipo tofauti na ikulu yetu.....
 
huyo mzungu viatu vyake hajapaka rangi......
hiyo TV hiyo miwaya inaning'inia...ikulu....oooh no....
tofauti ni kwamba....ipo tofauti na ikulu yetu.....
Ongezea kuwa hao weusi wote wanaangalia kitu kimoja... lakini mkoloni(mzungu) anaangalia upande mwingine!
 
Ongezea kuwa hao weusi wote wanaangalia kitu kimoja... lakini mkoloni(mzungu) anaangalia upande mwingine!

tena kwa makini sana yani anakua kama anamezea mate kitu anachokiangalia anaombea hawa jamaa wachomoke tu awatie shule kua wasiwe wapumnbavu kuacha vitu vya thamani nje nje..!
 
Back
Top Bottom