Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

inawekana mkwere alikuwa ateue lakini list watu wakaichakachua akakuta jina la mama mwangunga, mama batilda mama na brameni masha ,mkwere akapima hali ya hewa ya sasa akaona ailie bati, au pia mambo ya mshiko za kuaminika zinasema hali mbaya hazina sijui kinana akufanya mrejesho kikamilifu au kuna EPA nyingine ambayo ilijitengeneza hapo kati

hila najiuliza kwani lazima uteuzi ufanyike kwasasa au kuna watu wenu ambao wanatambulishwa kama wakwetu mmesha toa hadi au mshavuta haraka haraka
 
Acheni apumzike, maana Slaa anatisha. Kumbukeni sera ya CDM ni kwamba hii mi RC na Mi DC haina tija wala maslahi kwa taifa. Huenda kaikopy hiyo sera.
Pili mwacheni alale Ikulu patamu ni raisi serious anaweza kuhangaika na majukumu makubwa ya nchi yake.
Mnamtafuta wa nini??!! Kama ni sura yake kanyweni chai nae huko majuu.
Of course he is behaving like a middle East King, anagona mpaka kutakapokucha hivi karibuni!!Atashangaa, atasema lakini watu wangu wananipenda mno waliobaki wanaodai maendeleo wamevutishwa bangi. Haa haaa haaaa!!
 
serikali imefulia haina fedha kwa ajili ya kuwalipa wakuu wa mikoa wapya na watakaostaafu pamoja na kuendesha mikoa mipya iliyoundwa ya njombe, geita, simiyu na katavi
 
wapendwa nadhani majukumu ya Rais ni mengi na kila jambo na wakati wake.naamini reshuffle itafanyika tu.
kama unaona muda wako wa kuteuliwa unazidi kuongezeka then vidi kuvuta subira
 
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??

Ukishapata kuwa njia ya mushkeli unapata wasi wasi tena kutumia. ndio urais wa jk
 
kwani ni lazima ateue mara tu baada ya uchaguzi?
au ndio na ww wasubiri fadhila
:decision::decision::decision:
 
Ndio huwa wanakawaida ya kuteua wakuu wa mikoa wakiingia madarakni lakini kwa sasa mheshimiwa kachelewa sana sijui kwa nini amefanya hivyo ila nawasiwasi anataka kuwaandalia wakina masha kitu fulani. sasa anawaaacha Wadanganyika wasahaau kwanza habari za uchaguzi then awape manafasi.....Mfano angalia Dar inakaimiwa haina mkuu wa mkoa wa kweli!
 
hajui ampe nani amwache nani kwa hawa maduu wake na washkaji kama akina batilda buriani, shamsa mwangunga, mwantumu mahiza, masha, mwakalebela, diallo, salakana, meela, mbatia, etc.
 
Kuna watu RA aliwaahidi u-DC na u-RC na sasa amevuliwa 'GAMBA' sijui itakuwa vipi?
 
JK anasubiri mwaka mpya wa fedha utakaoanza Julai. Pia mikoa mipya kuanza mpaka itangazwe kwenye gazeti la serikali ili wananchi watoe maoni yao.
 
yaaani JK anaona urais mgumu kweli maana alipoingia madarakani hakuwa na vision anataka kufanya nini?? hivi anashindwa kuwa determined kama mwenzie Kagame??? yaani mi naona hata aibu kuitwa mtanzania
 
unajua serikali haina pesa ya kuwalipa hao wapya wanasubiri bajeti ya julai ipite!
 
Ni ajabu! Kwanza waliopo wazee ona aliyetoka Tanga kukaimu Moshi na Lindi -Dsm anawongeze ugonjwa wa moyo kwa umri wao?? Je gharama analipa nani??
Lkn yasemekana aliweka vidosho,maswahiba-fisadi,ma-best lukuki!! jamaa wa kijitonyama kwa kushirikiana na mtoto wa mkulima wakasema afnaaleikh!!!!

Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni!!!!:bange:
 
Back
Top Bottom