Nini kinacho sababisha wanawake kuwa wakatili??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi sielewi labda ni utandawazi inakuwaje mwanamke akiwa na Mpenzi wake kwa shida na raha zote!!Lakini ikifika kwamba mume kipato kimepungua mke uanza mbwembwe na kuanza kumdharau nakuona simali itu??Je nyie shida yenu nikuona pesa haipungui??Nijuzeni!!Au mapenzi ni Pesa??
 
KK hujambo lakini??

Huyo atakayeleta dharau yeye anakuwa nazo ama?? Halafu mapenzi hayanunuliwi hata siku moja zaidi ya kupretend tu.
 
hizo dharau zitakuja iwapo ulimpata huyo mdada kwa kutumia pesa na kumwendesha kwa pesa, ila kama pesa haikuwa kishawishi wakati wa kutongozana kwenu zarau hazitakuwepo.
wadada wengi siku hizi wanajali mshiko kuliko hisia za mapenzi
 
Hapo kwenye nyekundu nimekusoma vema!!
 
mnatumia hela kutupata,nasi tunapenda hela zenu hadi tunaingia ndoa.....so siku hela hazipo ndo basi tena.....the means justifies the end!!!
na mara nyingine mkiwa na hela mnakuwa hamna adabu nyie wanaume so zikiisha lazima muone rangi kidogo....l.o.l
hamna mwanamke anakuwa katili bila sababu,kuna sababu tu za huo ukatili na mara nyingi huyo mwanaume anahusika.
 
i wish ningekuwa fisadi.
 
We unategemea nini kama utampata mtu kwa kumwambia una sh.ngapi bank?Alafu hiyo title mbona ina makali hivyo?Mi nlidhani kuna mwamamke kaua au kachoma mtu moto!
 
mnatumia hela kutupata,nasi tunapenda hela zenu hadi tunaingia ndoa.....so siku hela hazipo ndo basi tena.....the means justifies the end!!!
na mara nyingine mkiwa na hela mnakuwa hamna adabu nyie wanaume so zikiisha lazima muone rangi kidogo....l.o.l
hamna mwanamke anakuwa katili bila sababu,kuna sababu tu za huo ukatili na mara nyingi huyo mwanaume anahusika.

Ni kweli usemayo na nimeyaonja pia!

Lol................usiombee hii kitu hamna rangi utaacha kuona!
 
Umetendwa nini kaka?.....km ndivyo basi pole dunia ndivyo ilivyo
 
hizo dharau zitakuja iwapo ulimpata huyo mdada kwa kutumia pesa na kumwendesha kwa pesa, ila kama pesa haikuwa kishawishi wakati wa kutongozana kwenu zarau hazitakuwepo.
wadada wengi siku hizi wanajali mshiko kuliko hisia za mapenzi

Ni kweli Marytina kuna wakaka wengine wanaendesha mapenzi kwa pesa kuliko hisia. Na hao kina dada ambao wanaendesheka kwa pesa wanapatikana pia. Kwa hiyo siku zikiisha lazima atakudharau kwa sababu ninyi mmeunganishwa na pesa zaidi!!
 
Mimi sielewi labda ni utandawazi inakuwaje mwanamke akiwa na Mpenzi wake kwa shida na raha zote!!Lakini ikifika kwamba mume kipato kimepungua mke uanza mbwembwe na kuanza kumdharau nakuona simali itu??Je nyie shida yenu nikuona pesa haipungui??Nijuzeni!!Au mapenzi ni Pesa??

Ulikuwa unaishi nae ktk msingi wa mapesa..... Yaani mapesa ndo yanaongea, sasa huna pesa nani ataongea??
 
hizo dharau zitakuja iwapo ulimpata huyo mdada kwa kutumia pesa na kumwendesha kwa pesa, ila kama pesa haikuwa kishawishi wakati wa kutongozana kwenu zarau hazitakuwepo.
wadada wengi siku hizi wanajali mshiko kuliko hisia za mapenzi
Hivi hapa bongo utamtaka mwanamke kwa kukenua???Lazima uzame naye ajue nilipo ninamwanaume kwani mimi nilishawasikia wanawake wakisema uwezi kutongoza mwanamke kwa maneno tu ujamlisha hata nyama ya foili kwa kisamo!Unataka kuleta mbwembwe utaambulia kweli??Tuwe wakweli jihisi niwewe unatongozwa!Jamaa kapukutika na wewe umemsoma hana pesa hata ya texi ni kweupe unakubali au unakula kona nyie wanawake msituzuge kwa thread za JF nyie bila chapaa mnakubali??kwanza guest hamtaki mnataka hotel utadhani mkilala hotel inageuka inakuwa yenu! Acheni Pesa ndiyo kila kitu ikiisha vumilia itarudi tena!Kwan maji ufata mahali yalipokwisha pita!

mnatumia hela kutupata,nasi tunapenda hela zenu hadi tunaingia ndoa.....so siku hela hazipo ndo basi tena.....the means justifies the end!!!
na mara nyingine mkiwa na hela mnakuwa hamna adabu nyie wanaume so zikiisha lazima muone rangi kidogo....l.o.l
hamna mwanamke anakuwa katili bila sababu,kuna sababu tu za huo ukatili na mara nyingi huyo mwanaume anahusika.
Mimi nakwambia kibarua kimekata unaniuliza sasa mimi nitaishije ebo!!Sema mume tufanyeje maana kazi ndo hakuna tufanyeje?? huyo ndiye mwanamke wabusara!!, lakini tuwapenzi wakati ninakisu unaniona kilakitu ndiyo mimi, kisu kikikata unauliza pesa ya saloon nikisema sina unasema sasa mimi nitaishije??Nisipokupa unanuna na baada ya hapo nikikupigia simu aupokei nakama ukipokea unauliza UNASEMAJE??KWA UKALI!! IT MEANS HUTAKI USUMBUFU!!!Kweli??

Wazoesheni wake zenu shida na raha.
Siyo wake tu hata wapenzi ukiona leo sina siyo mwisho wa maisha vumilia tutapata kesho na maisha yataendelea!!
 
hee sa kama mwanamume hana pesa kwanza inakuwaje mbona naona mawingu mie siweziiiiiiiiii kabisa
ukizingatia hajazaliwa peke yake....zaidi zaidi mapenzi ya dhati by natural way yalishakwisha soooo
kupenda kwangu kunaletelezwa na pesa zaidi....
in fact mimi siwezzi vumilia akatafute wa saizi yake kwa wakati wake
mambo ya mama naniii sijui naomba pesa sijui sina shati akha..........
 
Ukiangalia mwanamke anayesema yeye bila pesa hawezi utashangaa sana maana hata familia yake haiko the way yeye anavyojifanya kwamba yeye bila pesa hakuna mapenzi ya dhati, pesa pesa utafikiri aliandikiwa au kazaliwa nazo anadai pesa wakati hata kumnunulia mama yake kipande cha khanga hafanyi hivyo halafu anajifanya eti yeye bila pesa hauwezi kwenda naye.....nyambaffff kabisa!!!!!!
 
Mimi sielewi labda ni utandawazi inakuwaje mwanamke akiwa na Mpenzi wake kwa shida na raha zote!!Lakini ikifika kwamba mume kipato kimepungua mke uanza mbwembwe na kuanza kumdharau nakuona simali itu??Je nyie shida yenu nikuona pesa haipungui??Nijuzeni!!Au mapenzi ni Pesa??

umemuuliza Anna Makinda kwanza mkuu wangu? maana hana hata machungu na hata nchi yake
 
Mimi nakwambia kibarua kimekata unaniuliza sasa mimi nitaishije ebo!!Sema mume tufanyeje maana kazi ndo hakuna tufanyeje?? huyo ndiye mwanamke wabusara!!, lakini tuwapenzi wakati ninakisu unaniona kilakitu ndiyo mimi, kisu kikikata unauliza pesa ya saloon nikisema sina unasema sasa mimi nitaishije??Nisipokupa unanuna na baada ya hapo nikikupigia simu aupokei nakama ukipokea unauliza UNASEMAJE??KWA UKALI!! IT MEANS HUTAKI USUMBUFU!!!Kweli??

Kila kitu kina misingi yake KKK,misingi iliyojenga uhusiano wenu ikivunjika ndo hivyo tena,acha maneno mengi na lawama kuwa tu wakatili,tafuta mwanamke ambaye tangu mwanzo misingi inayowaweka pamoja ni ile ya upendo usiojali maslahi ya kifedha......ukijidai una hela,siku zikiisha unaonekana msumbufu tu usiye na maana,ila anayekupenda kwa dhati hata ufulie mwaka,yu nawe tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom