Nini kinacho mfanya binadamu awe...

doctorz

JF-Expert Member
Aug 10, 2010
916
228
Habari za J'Pili wanadamu wenzangu.

Mwanadamu kama mnyama yeyote an mahitaji sawa na wanyama wengine.

Ingawaje mwanadamu anajiona kuwa ni mmiliki wa vyote. Anaviharibu na kuvifuja atakavyo bila ya kujali kuwa akifanya hivyo anajidhuru hata mwenyewe.

Sasa basi....... Ni nini kinachomfanya binadamu awe tofauti na wanyama wengine?!!!!!!!!! Tujijadili hapa leo ili tuutambue uwanadamu wetu.
 
Kwanza mwanadamu anayo nafsi kitu ambacho wanyama hawana.
Pili mwanadamu ana uwezo wa kutamka maneno pia na uwezo wa kucheka kitu ambacho wanyama hawana
Tatu mwanadamu anaichukulia sex kama pleasure wakati mnyama wanaichukulia chanzo cha kupata mimba na hawana hisia
Ngoja na wengine waje kwanza
 
Akili na ufahamu ndio tofauti iliyopo kati ya wanadamu na wanyama.Ubaya ni kwamba pamoja na kwamba tumejaaliwa hayo, kuna wengine yanawazidi na ndio unakuta mtu anafanya kitu ambacho usingetegemea kwa kujua kwamba ni hasara kwake.
 
Note ; Hoja ya Mh. Nitonye 85% nakubaliana nae.
But the rest % sikubaliani nae "kwamba binadamu ana uwezo wa kutamka maneno, hivi nani anatakaenipinga hapa kwamba Kasuku uwezo wa kutamka maneno kiufasaha anao ? Ndo kusema si binadamu pekee anaemiliki uwezo wa kuongea.
 
Nitonye - Nafsi au indeviduality hata wanyama wanayo. Sex kama starehe Mhhh... Jaribu kuangalia paka au mbwa wanapo do halafu utahkikisha kuwa wao pia wana enjoy sex.

LiZzy - Akili na ufahamu, May be lakini kuna wanyama ambao wana inteligence hata kushinda wanadamu wengine

Kipipi(TAMU) - Akili na kujuwa baya na zuri labda hata dilphins wanayo hiyo kushinda wanadamu.

Preta - Mabobish LOL. Kuna wale ndege ambao wanaitwa birds of paradise. Wao wana mabobish ambayo hamna mwanadamu awezaye kuya desplay.

Embu tuwe honest. Kuna sifa fulani ambazo scientifically zina wajumuisha kundi hili letu mpaka tunaitwa binadamu. Just about 20,000 years ego ndiyo sisi tulianza kuzipata hizo. Tujaribu kujitambuwa kuwa sisi ni binadamu kwa sababu hizo.

Any Archaeologist would tell you these factors. THINK !!!!!!!!
 
LiZzy - Akili na ufahamu, May be lakini kuna wanyama ambao wana inteligence hata kushinda wanadamu wengine

Kipipi(TAMU) - Akili na kujuwa baya na zuri labda hata dilphins wanayo hiyo kushinda wanadamu.

Hao hawapo kwenye position ya kufanya wafanyayo binadamu. . .kwahiyo kutaka kumlinganisha binadamu na mnyama kimatendo ni sawa na kumlinganisha Lizzy na mtu mwingine yeyote yule kisa wote wapo JF wakati unajua fika hata mazingira tuliyopo yanatofautiana.
 
LiZzy,

Biologicaly wanyama wooote tuna charecteristics sawa.

FEEDING, PROPERGATION, LOCOMOTION, EXCRETION, RESPIRATION etc

What makes a human being different? There must be something unique that makes MAN...... MAN. This is the argument. What is it?
 
Binadamu wanakameruniana wanyama hawacameruniani!

wanadamu tumepewa akili na matamanio lakini wanyama wamepewa matamanio pasi na kuwa na akili dats y mbuzi mdadi ukimpanda ana do pahala popote bila kujali yupo wapi anaonwa na nani even kuku pia hivyo hivyo wamepewa matamanio lakini akili hamna!

sasa sidhani kama binadamu tunaweza kufanya ya mbuzi au kuku japo binadamu yapo mambo mengine wanayafanya hata hao wanyama hawajawahi fanya!
 
Hili swali limekaa kama lile la UTU. Ningekuomba kwanza ukasome thread ya Mkuu EMT (hasa kurasa za mwisho mwisho), ukikosa majibu ndio uje tuendelee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom