Nini kimewakumba Halotel?

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,010
Walianza kwa kasi kweli kwenye internet sasa hivi ni aibu hata kuzungumzia, customer care namba haipatikani, kwenye facebook ukilalamika hawajibu ila ukiwasifia admin anajibu fasta, utasikia asante kwa kuchagua halotel.

Please jamani embu rudisheni ile speed ya zamani au ni hujuma??
 
Ofisi zao nyingi zimefungwa kwakuwa hawana wateja.
Hawana wafanyakazi pia na waliopo hawafanyi kazi kwa weledi, wapo kusogeza siku tu! Usawa huu unamlipa mtu 4k kweli
hapo umeongea ukweli mtupu, leo tu nimewatumia ujumbe wa malalamiko kupitia jamii forums na facebook mesenger lakini hadi sasa wapo kimya hawakujibu chochote
 
Tatizo waliingia kipindi kile cha serikali ya mla na watu na hawakujua ajaye si mla na watu bali mla pekee.Afu baba Riziki hana mambo humo?
 
walianza kwa kasi kweli kwenye internet sasa hivi ni aibu hata kuzungumzia,customer care namba haipatikani,kwenye facebook ukilalamika hawajibu ila ukiwasifia admin anajibu fasta,utasikia asante kwa kuchagua halotel
Please jamani embu rudisheni ile speed ya zamani au ni hujuma??
Mpaka kero kwa sasa mtandao umekuwa slow sana
 
Back
Top Bottom