Wewe unajua ratiba ya kuapishwa kuliko Mbowe acha unafiki wa siku moja kwa vile najua kesho utanyamaza.huu ni uzembe wa uongozi chadema..chadema vitu vingi tunafanya kama tupo kwenye kampeni kwa hali hii kunatofauti gani na wasira anaelala bungeni.?
Serikali yote ipo Leaders Club wanamzika kanumba!!
Rais
Waziri mkuu
Makamu rais
Waziri wa habari na michezo
waziri wa akina mama na watoto
waziri wa afya
mwanasheria mkuu wa serikali
Makamu wa Spika - ndugai
Sasa hapo unataka nini tena kujua serikali hii ni hovyohovyo!!
najaribu kuona kama kuna mbunge yoyote wa cdm sijafanikiwa
Uko sahihi mkuu! Lakini hizo hoja ametumwa na wananchi kuzitoa na bungeni pia! Kule hawezi kzitoa kama hajaapishwa. Sisi ni lazima tuonyeshe tofauti yetu na hao magamba, na tofauti inaanza kwa kuwa at the right place and at the right time! Kwa vyote vile leo alitakiwa awepo mjengoni na kwakua hatujaambiwa sababu nilazima tuhoji kwanini hayupo mjengoni kutuwakikilisha leo kama tulivyotegemea? Sio dhambi kuhoji!!Mbona hao Magamba wanaapishwa Sana Lakini wanatafuna rushwa kama mchwa kwahiyo kuapishwa sio kitu muhimu sana tunachohitaji ni hoja za msingi naomba wana bodi tuache unafiki tusi mhukumu mtu kwa makosa madogo madogo kama hayo wakati kuna mijitu inapuputisha uchumi wetu lakini tunauchuna
hahahahahahahahahahahahah....aaahhh mkuu kuna watu wameaga sio kukurupuka kwenda mjengoni hukubukiissue ya chengekuwanga bungeni.....Ikulu kuna mapepo.source waziri Nyalandu.ok one question to ask ule mkono wa Mudhihir pale mjengoni alimnyooshea nani.
probably wana udhuru, so si kila kitu spika aambiwe
watanzania wenzangu sito nasari pekee kachelewa bungeni yuko na mwenzie wa ccm lakini hapa tuna msulubisha nasari pekeyake hi si sawa tujirekebishe
Serikali yote ipo Leaders Club wanamzika kanumba!!
Rais
Waziri mkuu
Makamu rais
Waziri wa habari na michezo
waziri wa akina mama na watoto
waziri wa afya
mwanasheria mkuu wa serikali
Makamu wa Spika - ndugai
Sasa hapo unataka nini tena kujua serikali hii ni hovyohovyo!!