Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Hata kama humpendi huyu jamaa ila tambua kipaji chake tu basi,,,baadae, tupogo, ndagushima aliwashirikisha mastaa gani?????
Huyu alitoka kwa kusukumwa na ma-star wenye vipaji vya muziki.. hata hiyo Nyimbo ya Tupogo iliyohit alimshirikisha J. Martin wa huko west africa.. Dimpoz hana uwezo mkubwa wa kutunga mashairi mengi, makali, yenye mvuto peke yake bila msaada..japo kuimba anamudu kiasi chake. ***note***.. Kuimba wengi huku mtaani wanaimba zaidi ya Kiba, diamond, Mavoko, hamo, rayvan, belle 9.. Kazi kubwa kwenye mziki sio kuimba bali ni kutunga nyimbo, kuwa mbunifu wa melody, kutengeneza hit song, na ku-design melody mbalimbali na kuweza kutambaa nazo kwenye beat..
 
Labda kama unazungumzia mashairi ya namna ipi,,,,hebu sikiliza nyimbo kama "baadae " halaf utaelewa vzur,,,vina mwanzo, kati na mwisho halaf na melody tamu pia...kiukweli jamaa ni msanii mkali sana kama akiacha zile ""pozi kwa pozi""
 
mkuu siwezi kumsikiliza dimpoz.. namfahamu kitambo sana na uwezo wake naujua toka yupo kwa T.I.D top band.. au nitajie hit song tano alizotoa akiwa amesimama peke yake.. jibu ni hakuna.....sio mbaya endelea kumkubali mkuu..
 
yuko na baby wake wanatalii na kulabata miji mbalimbali hukumbuki alipost video akiwa na le bebeez after hitsong shika adabu yako kutoka
 
Huyu alitoka kwa kusukumwa na ma-star wenye vipaji vya muziki.. hata hiyo Nyimbo ya Tupogo iliyohit alimshirikisha J. Martin wa huko west africa.. Dimpoz hana uwezo mkubwa wa kutunga mashairi mengi, makali, yenye mvuto peke yake bila msaada..japo kuimba anamudu kiasi chake. ***note***.. Kuimba wengi huku mtaani wanaimba zaidi ya Kiba, diamond, Mavoko, hamo, rayvan, belle 9.. Kazi kubwa kwenye mziki sio kuimba bali ni kutunga nyimbo, kuwa mbunifu wa melody, kutengeneza hit song, na ku-design melody mbalimbali na kuweza kutambaa nazo kwenye beat..
Ommy Dimpoz ana kipaji cha kuimba, mchukie kwa mambo mengine tu. Usisikilize nyimbo zake tu, msikilize pia kwenye nyimbo za kushirikishwa, mfano Mama alioshirikishwa na Bella (Sidhani kama Bella anaweza omba featuring na msanii mbovu), msikilize kwenye Featuring ya Nemo (My Number 1), Msikilize kwenye chorus ya Suma Mnazareti (Chukua Time), Msikilize kwa Nedy Music (Usiende Mbali), Msikilize kwenye Protoko ya Victoria Kimani, hizo ni baadhi tu.
 
nahitaji nyimbo zake tano alizosimama peke yake na zikatoka hit.. kuimba anajua tatizo hana kipaji... kuimba na sauti wengi wanajua ndio maana nikasema huku mtaani kuna watu wanaimba sana.. tatizo dimpoz hana kipaji na ubunifu wa kutunga.Kuna wanaojariku kumuweka kwenye wasanii wakali na wakubwa mimi ndio napinga
 
ujue ommy zamani alikaa karibu na uwaridi..
ndio maana akanukia
sasa sijui yuko team gani lazima apotee...
kabla alikua na chibu ,alifanikiwa sana!!!
saivi naona ana maskendo tu ya upunga
Swadakta! Dimpoz hakika alikuwa 'ananukia' kwasababu ya kuwa karibu na waridi lakini mwishowe akavimba kichwa akajitutumua ati hata akienda kukaa chini ya mpapai ataendelea kunukia.. Matokeo yake ameyaona!!

Ajishushe, akubali yaishe!! Ingawa alitibua urafiki wake na Wasafi kwa sababu za kijinga kabisa..
 
Wanaukumbi kwema,

Leo naombeni mnijuze nini kimemkuta mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ambaye kuna kipindi tuliaminishwa kuwa atakuja kumzidi kama sio kumfunika na kumpoteza kabisa Diamond.

Ikumbukwe Ommy Dimpoz alianza vizuri kwa kutoa vibao matata kama Nainai, Baadae, Tupogo na Ndangushima. Baada ya hapo ametoa nyimbo zilizoshindwa kutamba kabisa...mfano mzuri ni Wanjera. Kwasasa dimpoz amepotea na kafunikwa na vijana wadogo akina Rayvan na Harmonize, Je ni nini kimemsibu staa huyu aliyekuwa anafananishwa na Diamond kwa uwezo wake Kimuziki?
"Mwanaume" ukianza kutinda nyusi tu, mambo huanza kwenda sivyo.
 
Ommy Dimpoz ana kipaji cha kuimba, mchukie kwa mambo mengine tu. Usisikilize nyimbo zake tu, msikilize pia kwenye nyimbo za kushirikishwa, mfano Mama alioshirikishwa na Bella (Sidhani kama Bella anaweza omba featuring na msanii mbovu), msikilize kwenye Featuring ya Nemo (My Number 1), Msikilize kwenye chorus ya Suma Mnazareti (Chukua Time), Msikilize kwa Nedy Music (Usiende Mbali), Msikilize kwenye Protoko ya Victoria Kimani, hizo ni baadhi tu.
Ongezea na utamu utamu ya dully sykes mkuu,,,,huyu jamaa anajua ila watu wengi wanambeza labda pengine kwa mambo yake nje muziki
 
nahitaji nyimbo zake tano alizosimama peke yake na zikatoka hit.. kuimba anajua tatizo hana kipaji... kuimba na sauti wengi wanajua ndio maana nikasema huku mtaani kuna watu wanaimba sana.. tatizo dimpoz hana kipaji na ubunifu wa kutunga.Kuna wanaojariku kumuweka kwenye wasanii wakali na wakubwa mimi ndio napinga
Mbona unakimbilia kutaka hzo nyimbo tano wakati kiukweli dimpoz kiujumla hana nyimbo zote hzo tangu aanze muziki!!
 
nahitaji nyimbo zake tano alizosimama peke yake na zikatoka hit.. kuimba anajua tatizo hana kipaji... kuimba na sauti wengi wanajua ndio maana nikasema huku mtaani kuna watu wanaimba sana.. tatizo dimpoz hana kipaji na ubunifu wa kutunga.Kuna wanaojariku kumuweka kwenye wasanii wakali na wakubwa mimi ndio napinga
Wanjera,achia body,badae, tupogo,hawapendagi(mpya hii 2016)
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom