Nini kifanyike mapenzi yaimarike

Manchago

Member
Feb 18, 2012
20
0
Siku hizi ndoa nyingi hazidumu kama zamani je ni usasa tulionao ama kuna mambo tumeyasahau ndugu zangu naomba mchango wenu napenda nijipange?!
 
If you have no problem, basi endelea kufanya unavo fanya hadi sasa. Acha uoga
 
Siku hizi ndoa nyingi hazidumu kama zamani je ni usasa tulionao ama kuna mambo tumeyasahau ndugu zangu naomba mchango wenu napenda nijipange?!

generalization ni mbaya sana
ndoa moja isije ikakufanya uone kuwa ndoa hazidumu mkuu
Ingia kwenye taasisi hii ukiwa na malengo yako na ukiwa na aim ya kuitunza ndoa yako na kuifanya idumu
ukiingia na hizi notion kuwa ndoa hazidumu hata ya kwako haitadumu
Oa ukijua kuwa ndoa yangu ndio itakuwa the best marriage ever exist na utaona matunda yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom