Nini kifanyike kuzinusuru ndoa za nyakati hizi?

Chepeti

Member
Nov 6, 2011
25
8
Kama mjuavyo ndoa za nyakati hizi zimekta tofauti kabisa na kipindi cha wazazi wetu na bibi na babu zetu.Ndoa za enzi hizi zimekua ni kama mbwembwe tu ila watu wengi hawadumu kwenye ndoa zao ,nini tatizo ,naomba michango yenu
 
Tatizo ni
1.watu kuingia ndoani bila kujua wanachofuata humo. . .
2.kuingia kwasababu ya vitu ambavyo ni rahisi kuisha (pesa, uzuri wa mwili, uzuri wa sura, fame etc).
3.kuingia kwenye ndoa na mawazo ya kwamba kila siku itakua jumapili. . . hawajiandai na vikwazo.
4.kuingia kwa shinikizo la watu wengine.
5.kuingia kwa hofu ya "kuchelewa" au kukosa kabisa mtu mbeleni.

Watu wakianza kuoana for the right reasons (kupendana na kuhitajiana) labda matatizo yanayohusiana na infidelity (tatizo kubwa linalozaliwa na hayo hapo juu ) yatapungua.
 
TATIZO:
WENYE NDOA,HAWAHESHIMIANI,HAWAPENDANI KIUKWELI,HAWAWAJIBIKI,HAWATUNZANI,HAWAAMINIANI,HAWASHIRIKIANI,HAWASIKILIZANI,HAWASAMEHEANI,HAWAHESABU MEMA YA WENZAO ILA MABAYA TU,HAWALINDANI.HAWAHURUMIANI.

Haya YAKIONDOKA,ndoa patakuwa kama peponi NI FURAHA AMANI NA RAHA.
 
Kama mjuavyo ndoa za nyakati hizi zimekta tofauti kabisa na kipindi cha wazazi wetu na bibi na babu zetu.Ndoa za enzi hizi zimekua ni kama mbwembwe tu ila watu wengi hawadumu kwenye ndoa zao ,nini tatizo ,naomba michango yenu

anzisha shule ya ndoa
 
Wadada wapunguze kutembea nusu uchi! alafu pia wanawake wamekuwa wengi ivyo unakuta wanakomalia mpka wenye ndoa! so unakuta mama watoto akisanuka anasepa mazima!
 
Wadada wapunguze kutembea nusu uchi! alafu pia wanawake wamekuwa wengi ivyo unakuta wanakomalia mpka wenye ndoa! so unakuta mama watoto akisanuka anasepa mazima!

Mavazi ya wadada yanachangia vipi kuvuruga ndoa?
 
Tatizo ni
1.watu kuingia ndoani bila kujua wanachofuata humo. . .
2.kuingia kwasababu ya vitu ambavyo ni rahisi kuisha (pesa, uzuri wa mwili, uzuri wa sura, fame etc).
3.kuingia kwenye ndoa na mawazo ya kwamba kila siku itakua jumapili. . . hawajiandai na vikwazo.
4.kuingia kwa shinikizo la watu wengine.
5.kuingia kwa hofu ya "kuchelewa" au kukosa kabisa mtu mbeleni.

Watu wakianza kuoana for the right reasons (kupendana na kuhitajiana) labda matatizo yanayohusiana na infidelity (tatizo kubwa linalozaliwa na hayo hapo juu ) yatapungua.

you are so bright. Nimependa point zako, n t z very tru!
 
Mambo kama haya ndani ya ndoa huwa yanaongeza uhai kwenye ndoa.

I just wanna...
Show you how much I appreciate you
Wanna show you how much I'm dedicated to you
Wanna show you how much I will forever be true
Wanna show you how much you got your girl feelin' good
Wanna show you how much, how much you're understood
Wanna show you how much, I value what you say
Not only are you loyal, you're patient with me bay
Wanna show you how much, I really care about yo heart
I wanna show ya how much, I hate being apart
Show ya, show ya, show ya til you're through with me
I wanna keep it how it is, so you can never say how it used to be

(Bridge)
Loving you is really all that's on my mind
And I can't help but to think about it day and night
I wanna make that body rock, sit back and watch

(Chorus)
Tonight I'm gonna dance for you (ohh ooh ohh ohhh)
Tonight I'm gonna dance for you (ohh ooh ohh ohhh)
Tonight I'm gonna put my body on your body
Boy I like it when you watch me, ah
Tonight it's going down
I'll be rockin' on my babe rockin', rockin' on my babe
Swirlin' my babe Twirlin', swirlin' on my babe
Baby lemme put my body on your body
Promise not to tell nobody cuz
It's bout to go down

You'll never need 2, cuz I will be your number 1
Them other chicks are superficial
But I know you know I'm the one
That's why I'm all into you
Cuz I can recognize that you know that
That's why I'm backin' this thing back
Pop, poppin' this thing back
Drop-drop-drop-dropping this thing back
This is for the time, you gave me flowers
For the world, that is ours
For the moonlight, for the power of
love
I know I won't never ever eh-ever give you up
And I wanna say thank you in case I don't thank you enough
A woman in the street and the freak in the you know what
Sit back sit back it's the pre game show
Daddy you know what's up
[ Lyrics from: Beyonce - Dance For You Lyrics ]
(Bridge)
Loving you is really all that's on my mind
And I can't help but to think about it day and night
I wanna make that body rock, sit back and watch

(Chorus)
Tonight I'm gonna dance for you (ohh ooh ohh ohhh)
Tonight I'm gonna dance for you (ohh ooh ohh ohhh)
Tonight I'm gonna put my body on your body
Boy I like it when you watch me, ah
Tonight it's going down
I'll be rockin' on my babe rockin', rockin' on my babe
Swirlin' my babe swirlin', swirlin' on you babe
Baby lemme put my body on your body
Promise not to tell nobody cuz
It's bout to go down

Imma take this time
To show you how much you mean to me
Cuz you all I need
No money can emphasize or describe
The love that's in between the lines
Boy look into my eyes
While I'm grinding on you
This is beyond sex
I'm high on you
If it's real then you know how I feel
Rockin on you babe
Rockin rockin on you babe
Swirlin on you babe
In my mind all I can think about
Is a frame for our future
And the pictures of the past
And a chance to make this love last

(Chorus)
Tonight I'm gonna dance for you (ohh ooh ohh ohhh)
Tonight I'm gonna dance for you (ohh ooh ohh ohhh)
Tonight I'm gonna put my body on your body
Boy I like it when you watch me, ah
Tonight it's going down
I'll be rockin' on my babe rockin', rockin' on my babe
I be swirlin' my babe swirlin', swirlin' on you babe
Baby lemme put my body on your body
Promise not to tell nobody cuz
It's bout to go down

Watch me pop it, pop it, pop-pop-pop-pop it for you baby
Drop it, drop it, drop it, drop it for you baby
Watch it, watch it, watch it, watch me throw it baby
Wanna make that body rock, sit back and watch

Last edited by a moderator:
nadhani ni kutoelewa maana ya mtu mwenye mume na mwenye mke(aliyeoa au kuolewa)anatakiwa a behave vipi.ili kutofautisha mazoea ya kabla ya ndoa na maisha baada ya ndoa.pia ha wafahamu kuwa ndoa ni kutoa uhuru wako kiasi ili umilikiwe na mumeo au mkeo.na ndoa bila kumilikiana haiwezi kuwa na mafanikio.ubabe uliopo sasa(uchelewe kurudi utaki kuulizwa,simu yako isiguswe n.k)ndo maana ndoa nyingi hazina amani kabisaaa.na mtu anatoka nje ya ndoa kuondoa stress kumbe ndo analeta matatizo makubwa sana ya mbele.mwisho vijana tumjue Mungu.maana nafasi zetu na mamlaka yetu yameandikwa wazi katika vitabu vya dini.ukifahamu mwanaume unawajibu gani na haki gani uwezi kupata shida na mkeo pia akifahamu anawajibu gani ktka ndoa na haki zipi hapatakuwa na ugomvi.mbona ofisini tuna peform vizuri tu nyumbani tunashindwaje?
 
Tatizo ni
1.watu kuingia ndoani bila kujua wanachofuata humo. . .
2.kuingia kwasababu ya vitu ambavyo ni rahisi kuisha (pesa, uzuri wa mwili, uzuri wa sura, fame etc).
3.kuingia kwenye ndoa na mawazo ya kwamba kila siku itakua jumapili. . . hawajiandai na vikwazo.
4.kuingia kwa shinikizo la watu wengine.
5.kuingia kwa hofu ya "kuchelewa" au kukosa kabisa mtu mbeleni.

Watu wakianza kuoana for the right reasons (kupendana na kuhitajiana) labda matatizo yanayohusiana na infidelity (tatizo kubwa linalozaliwa na hayo hapo juu ) yatapungua.

Lizzy Umeolewa? Da naleta posa kwa kweli kama hujaolewa, nipokeeeeeeeeeeeee

Il Gambino.
 
Ndoa siku hizi ni fashion, ile maana halisi ya kuungana na kufanya familia huku wanandoa wakitunzia heshima, imepotea kabisa!
 
msiongelee upande mmoja tu jamani...mbona zipo pia zinazodumu hizhiz za siku hizi...mfano ya kwangu...tumetuliiaaa na tunazaidi kusonga kwa uwezo wa MWENYEZI....I alwzys say thank you to God for this..!!
 
Back
Top Bottom