Nini kifanyike ili watu wasikatishe hovyo barabara na wasipite zebra wakikimbia?

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
Ndugu katika JF tumeona malanyingi raia wa Tanzania hukatisha hovyo barabarani hata sehemu ambazo zipo karibu kabisa na zebra (sehemu ambayo ni rasmi kwa waenda kwa miguu kukatisha barabara). Pia inapotokea watu wanapita zebra pia watu hukimbia utafikiri siyo sehemu yao maalumu kwa wao kukatisha. naomba mchango wa mawazo je? kwanini hali ipo hivyo na nini kifanyike kurekebisha hali hiyo?
 
Back
Top Bottom