Nini kifanyike dhidi ya Jiitu Patel?

Nakumbuka wimbo wa Dakta Remmy Ongala usemao-"tembea uone" na ule wa DDC Mlimani Park wa "duniani kuna mambo" na sauti laini ya Hassan Rehani Bichuka.
 
Mkuu Rwabugiri sasa hutaki?!

Hapo hamna haja ya ku-spin wala nini, yeye kaja na akili zake za kutuibia aboreshe maisha yake; sisi badala ya kung'amua janja yake na kumfurusha ndio kwanza tukamkabidhi kilicho chetu tena tukamlinda na kumbebea alichotaka zetu mpaka ndani kwake kisa nini katuhonga 10% tena ya mali yetu wenyewe...mjanja nani, mjinga nani hapo? Nadhani jibu unalo!

Mwakilishi heshima mkuu,
Tinaposigana ni hapo kuutukuza wizi kwamba ni akili! yaani huo ni ujambazi tofauti ni kwamba tu hajatumia panga wala baunduki!

Sasa tukiendelea kuutukuza huu ujambazi kwamba ni akili manake tuna wachochea hata watoto wetu wafanye hivyo siku za usoni kwani wataonekana wametumia akili kumbe ki msingi ni ujambazi tu!
 
Hoya hoya hoya hoya!?!?!?

Mwizi huyoooo ..... huyooooo.... jamani mwizi huyo........

Come on now!

Jana nilianzisha thread ya nini kifanyike dhidi ya mtu anayehusishwa na wizi wa karibu bilioni mia moja toka benki kuu kwa mujibu wa gazeti la This day.

Muda mfupi baada ya hiyo thread kutokea na watu wengi kuanza kuchangia, JF ilipotea hewani na kama muonavyo wengi imerudi bila ya hiyo thread. Kuna mengi sana kama Mwanakijiji alivyosema yameshakusanywa hapa na tayari kuanikwa JF katika wiki mbili zijazo dhidi ya huyu mtu hatari kabisa katika nchi yetu.

Thread ya Patel ilivyopotea na haya yote yaliyofuatia, kuna watu wamenipigia simu kuniambia kuwa niachane na habari za Patel maana ni mafia na atanifanyia kitu mbaya na kuimaliza JF kabisa. Sasa mimi nasema hivi, F.....ck you Patel. Kama wewe ndio ulimtuma Mushi na watoto wake kuja kuharibu JF ili habari zako zisisemwe hapa basi umechemsha big time.

Kumbuka kuwa kuna KLH News, Mwanahalisi, Thisday, Kulikoni, nk ambako utasemwa big tyme. Kama kweli unatumia intimidation ili kuficha wizi wa pesa ambazo zingetumika kujenga bwawa kubwa la maji hapo Dar na kupungunguza kero za maji ili kunyamazisha watu basi umechemsha. F.....ck you Patel.

Jamani nini kifanyike kwa huyu Patel? Kama wezi wa kariakoo huwa wanapigiwa kelele za mwizi mwiziiii na wanapewa kibano na kuchomwa moto ili wapoteee kabisa, kwa nini the same punishment isitumike dhidi ya Patel ambaye amekula pesa ya wizi huku akiacha watoto wachanga na mama wajawazito wakifa bila madawa hostpitali?

Mwizi mwizi mwizi Jiitu Patel huuyoooooo, choma moto huyooooo!
"Asulubiwe' KWA DHAMBI ZAKE.
 
JK amewapa six months kuwafikisha kina JITU mahakamani...hamuoni hawa mafisadi wamepewa mwanya wa either kuinhia mitini au kupoza wananchi wakasahau....kumbuka ya MANJI serikali (bunge)ilitumia mapesa mengi tu ya tax payers ati kuwasuluhisha na MENGI...ile kesi yote ya Ubungo plaza ikabigwa mute....AWAKE BONGO PPL....WE NEED CHANGE NOW
 
Wabongo upeo wa kufikiri naona umeshafikia KIKOMO.

Hivi hamkuelewa kuwa JK aliwapa nafasi (miezi sita) ili jamaa waondoke nchini?!!!!!!!! Mlishindwa kusoma katikati ya mistari kuelewa hilo?

Ukiiba hela nyingi bongo hufungwi! unakuwa shujaa hata Rais anakuwa rafiki yako na anaweza kukutangaza kuwa wewe ni ndugu yake!

When money talks People listen.
 
Masikia huyu mtu ni anamiliki hisa kubwa tu katika ile BENKI ya BWM ali maarufu kama Benki M. Ni mwizi tu kama wengine,sijui kwanini anaendelea kutembea huku nje. Kwanini Balali pekee yake ndiyo kapewa adhabu ya mara moja. Hawa watanzania wenye asili ya kihindi watutia hasara sana hawa. Mwafrika wa kike tupe news bila woga ila matusi JF nafikiri hayapendezi,hapa ni hoja bin hoja
 
Back
Top Bottom