Nini kazi ya Ndevu

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,404
85,823
Nywele zina majina mengi, mara nywele za kichwa, za kwapani, za machoni n.k

Lakini kweli jamani, to be honest,, nini kazi ya ndevu? nimesahau kidogo Biology yangu naombeni mnisaidie, mie ninazo mwili mzima, ila sijawahi kuona faida yake zaidi ya kunitia hasara tu.

Asanteni
 
Zangu kama kuna mtu anazitaka nimgaie ntashukuru pia
 
Peleka kule jf dr, maana toka kampeni za uchaguzi zianze jukwaa hili lilijaa vumbi tele mpaka huoni mbele wala nyuma- nadhani madaktari kwa kuwa hawataki kuharibu afya zao hawaingih humu ila ukipeleka huko jf huenda wakatupa clinical ama biological reasons za uwepo wake.
 
This research carried out by Doctor Freedman in the field of social psychology shows that the presence of a beard on man's face makes him more sexually attractive to women.

Scientific benefits for having a Beard

1:
A beard protects the face from harmful chemicals, and pollution in the air, which will cause cell damage, and increase wrinkling and bad skin. So keeping a beard protects your skin from the elements, reduces wrinkles, ageing, and bad skin.

2: The beard covers the skin, which protects the sebaceous glands from being infected by acne vulgaris bacteria, thus preventing acne/spots/pimples!

3:
Keeping your face warmer and protects your chin from dangers.

4: It prevents disease of throat and gums.

5:
Most of the respiratory problems are prevented by keeping beard.

6:
It is the identity for a man with respect to woman.

7: Research says the longer and thicker the beard the wiser the person is supposed to be.

8: What is the total time spent in shaving by a man in his whole lifetime? Dr. Herbert Mescon from Boston University did research to give an answer to this question. Dr. Mescon calculated that if a teenager begin shaving at the age of 15, then in his 55 or so years of shaving, he is likely to spend about 3350 hours (which are equivalent to about 139 full days) at this task in his lifetime. That is an incredible amount of time which literally goes down the drain. You can add to it thousands of dollars one spends during his lifetime on products for shaving (razors, shaving gels, after-shave lotions etc).

Gonga HAPA kwa habari za ndevu
 
Asante sana kwa kunifahamisha faida zake
 
Nywele zina majina mengi, mara nywele za kichwa, za kwapani, za machoni n.k

Lakini kweli jamani, to be honest,, nini kazi ya ndevu? nimesahau kidogo Biology yangu naombeni mnisaidie, mie ninazo mwili mzima, ila sijawahi kuona faida yake zaidi ya kunitia hasara tu.

Asanteni

kama hujuwi kazi ya ndevu kaulize wasio nazo watakwambia.
pia inasemekana 'kuwa na ndevu kwa mwanaume ni vibaya lakini ni mbaya zaidi kutokuwa nazo'. Hatahivyo mojawapo ya faida za ndevu ni kupendezesha uso.

na ukitaka kujua faida zake zaid we google swali lako utapata majibu lukuki.
 
Ukitaka kujua faida ya ndevu muulize mwandani wako wakati wa majamboz tumia kumsugua kifuani (kwenye manyonyo) na usoni polepole,halafu kwa wale wa chumvini (m 1) aka vigelegele, unapoanza kuingia mle zinashawashawa maeneo ya neighbourhood we utang'anganiwa to death. try once utanitafuta.
 
Basically nafuga ndevu kwasababu uislam unafundisha hivyo,nimekuja ku realize kwamba it makes me feel proud of my religion.
Inanizuia pia na maovu,I feel ashamed kujihusisha katika vitu vya haraam kwa sababu tayari nina symbol ya uislam,pia akina dada(maana ndio mtihani mkubwa) huwa wananiheshimu sana kwa sababu ya ndevu zangu.

Nimegundua pia kumbe great people wengi wakiwemo mitume,including Jesus(AS) walifuga ndevu,niki attend lectures(walimu wanapenda kuweka picha zao) noble-prize winners na scientists(Great Thinkers) wengi walifuga ndevu.

Zinanitoa sana kwenye armani
 
Nywele zina majina mengi, mara nywele za kichwa, za kwapani, za machoni n.k

Lakini kweli jamani, to be honest,, nini kazi ya ndevu? nimesahau kidogo Biology yangu naombeni mnisaidie, mie ninazo mwili mzima, ila sijawahi kuona faida yake zaidi ya kunitia hasara tu.

Asanteni
faida yake kuwasha
 
Dah, Kumbe ndevu zinamfanya mtu aepuke dhambi hii nayo mpya, haya asane mpwa, mie za kifuani ni laini na ndefu wakati mwingine shemeji yenu hua anachukua kitana na kuanza kuzichana mara azisuke sasa mie sipendi...
 
huyo shemeji nae anakufanya mdoli siku atataka hizo za kifuani aziweke dawa
 
This research carried out by Doctor Freedman in the field of social psychology shows that the presence of a beard on man's face makes him more sexually attractive to women.

Scientific benefits for having a Beard

1:
A beard protects the face from harmful chemicals, and pollution in the air, which will cause cell damage, and increase wrinkling and bad skin. So keeping a beard protects your skin from the elements, reduces wrinkles, ageing, and bad skin.

2: The beard covers the skin, which protects the sebaceous glands from being infected by acne vulgaris bacteria, thus preventing acne/spots/pimples!

3:
Keeping your face warmer and protects your chin from dangers.

4: It prevents disease of throat and gums.

5:
Most of the respiratory problems are prevented by keeping beard.

6:
It is the identity for a man with respect to woman.

7: Research says the longer and thicker the beard the wiser the person is supposed to be.

8: What is the total time spent in shaving by a man in his whole lifetime? Dr. Herbert Mescon from Boston University did research to give an answer to this question. Dr. Mescon calculated that if a teenager begin shaving at the age of 15, then in his 55 or so years of shaving, he is likely to spend about 3350 hours (which are equivalent to about 139 full days) at this task in his lifetime. That is an incredible amount of time which literally goes down the drain. You can add to it thousands of dollars one spends during his lifetime on products for shaving (razors, shaving gels, after-shave lotions etc).

Gonga HAPA kwa habari za ndevu

Appart from this scientific benefits, beards also are applied during sexual intercourse to rise the sex emmotional of your wife when rubbing slowly around the neck, breast and other eronous area. Also some women feel good when playing with husband beared, in short ni starehe na burudani tosha kwa akina mama (wale wanaojua kuzitumia tu) ndo maana mungu alituumba na ndevu (mungu ni mbora wa kuumba)
 
Back
Top Bottom