Nini iwe hatma ya Wapiganaji walio CCM, Warudishe kadi au?

- Sasa hawa wapiganaji wafanye nini as we move forward na hii vita na haya manyang'au?, wabaki CCM au warudishe kadi, au what else? Tujadili wakuu ili tuwafikishie mawazo yetu wananchi!

Respect.

Field Marshall Es! - ni Sauti ya Umeme!

Kwanza hii dhana ya WAPIGANAJI inanikumbusha zile zama za WAPAMBANAJI wakati wa mchakato wa 2005 na baada ya ushindi wa MTANDAO. Je hii ina maana WAPIGANAJI ni maadui wa WAPAMBANAJI (ambao baadhi yao wapo wanaojiita wapiganaji hivi sasa)?Jee UPIGANAJI hautatuzalia yale yaliyoletwa na WAPAMBANAJI?

Pia nawashauri "WAPIGANAJI" waendelee kujibana hukohuko kwenye MADHABAHU yao kama wadau wakuu wa MFUMO FISADI waliotujengea, kuulinda na hata hivi sasa wakiwa mapiganoni bado wanaendelea kuutetea. Siamini kama wao kujitoa CCM watakuwa wakiwafanyia mema watanzania ambao ukweli HOPE yao ya kuondokana na madhila wanayokumbana nayo haiwezi kufanikishwa na WALIOZIKOSA MBICHI hizi.

Pia kwa kuwa hawa "WAPIGANAJI" wakitoka CCM kamwe hawawezi kuanzisha chama chao na hivyo kulazimika kujiunga na vyama vingine vilivyopo. Kwa muono wangu ni kuwa wataathiri NATURAL GROWTH TREND inayoendelea miongoni mwa baadhi ya vyama vya UPINZANI kitu ambacho kitatishia mustakabali wa watanzania kupata MBADALA MAKINI wa CCM hapo mbeleni.

Lakini pia siamini kama AJENDA ya UFISADI ambayo baadhi ya WAPIGANAJI wanakosa MORAL AUTHORITY ya kuisimamia kwani nao ni MAFISADI wa ama enzi za RUKSA, enzi za UWAZI NA UKWELI ama wengine hata enzi za ARI MPYA, inatosheleza kwa wao kujitoa katika KUNDI LAO na kwenda katika kundi lingine. Naamini inahitaji zaidi ya ajenda muda mfupi kama ya UFISADI kwa mtu ama kundi la watu kuhama chama. Kama wangekuwa na tofauti za KISERA, KIIMANI ama KIITIKADI, hapo ningesema kuwa kuondoka kwao CCM kunaweza kuwa na manufaa kwa mtanzania na sio kama hali ilivyo sasa.

Vilevile wakati nawafeel wanapopiga kelele kuhusu ufisadi, kwa muono wangu THIS IS THE GREAT SPIN OF ALL TIME YENYE LENGO LA KUJENGA IMANI KWA WADANGANYIKA KUWA "THERE IS HOPE IN CCM". Matamshi ya KILANGO kuwa hawapaswi kumuacha Zitto aongelee UFISADI na Mwakyembe kuwa JK awashukuru wao kwa kuweza kuwaondolea adha ya mawaziri wake kuzomewa huko mitaani yanadhihirisha hilo.

Naamini maoni yangu ambayo yanaweza yasiwe ya "GREAT THINKERS" lakini yapoyapo na yatawafikia "WAPIGANAJI" wetu...

omarilyas
 
Hakuna haja ya kurudisha kadi pasipo ulazima, ulazima niuonao ni kwa hawa wapiganiji kulazimishwa kurudisha kadi zao ili wasiwenwanachama wa cahama A kwa lengo kwamba chama A kitabakia na nguvu kuliko vyama B, C, D n.k. Nadhani Tanzania ya kweli itajengwa na watanzania wa kweli pia, na watanzania wa kweli ni wale ambao daima hufikiria mstakabali wa nchi yao tofauti na maslahi ya vyama vyao.

Linapofika suala la maslahi ya Taifa itikadi zote za vyama yafaa ziwekwe kando na ndipo utaifa uendelee. Kigezo kwa mfano kwamba spika Sitta aliruhusu mno wabunge kuwa huru kuongea na kuibana serikali hakitoshi kumuachisha uanachama wake aliuchagua kwa demokrasia aliyoiona yeye(Sitta).

Pili kigezo kwamba wabunge wa ccm wanaibana serikali sana kama wabunge wa upinzani ni hoja nyepesi sana, kwani mbunge bungeni kazi yake ni nini?

Mwisho nadhana wapiganaji waendelee kupigania maslahi ya taifa hili na wote wapenda nchi tupo pamoja wasitishwe kupokwa kadi zao za vyama na kama wakipokwa kadi zao Tanzania ina vyama vingi na kwa kuwa wameshaonwa na watanzania wapenda nchi yao basi hawatakuwa natatizo la kuupata ubunge tena. Tuchoke sasa na tabia ya viongozi wapaswao kuwa wa watu(Umma ) kuwa viongozi wa kutafuta maslahi yao wenyewe.

"TANZANIA ITADUMU NA WENYE NIA NJEMA NAYO TU"

- Mkuu tupo pamoja sana hii pia ni great thinking, na itafika kama ilivyo.

Respect.

FMEs!
 
Pia nawashauri "WAPIGANAJI" waendelee kujibana hukohuko kwenye MADHABAHU yao kama wadau wakuu wa MFUMO FISADI waliotujengea, kuulinda na hata hivi sasa wakiwa mapiganoni bado wanaendelea kuutetea. Siamini kama wao kujitoa CCM watakuwa wakiwafanyia mema watanzania ambao ukweli HOPE yao ya kuondokana na madhila wanayokumbana nayo haiwezi kufanikishwa na WALIOZIKOSA MBICHI hizi.

Naamini maoni yangu ambayo yanaweza yasiwe ya "GREAT THINKERS" lakini yapoyapo na yatawafikia "WAPIGANAJI" wetu...

omarilyas

- Hapo juu ni great thinking, na heshima mbele.

- Wakuu wengine tunayo mpaka Tarehe 30/8/09 kuweka maoni yetu hapa, baada ya hiyo siku nitaanza ku-edit na tarehe 1/9/09 nitaikabidhi rasmi hii ripoti type kwa Mpiganaji mmoja kwa naiaba ya wenziwe, ingawa pia nitawatumia kwa njia ya mtandao na hta wasiokuwa wapiganaji, lakini muhimu kwa maamuzi muhimu ya taifa letu.

Respect.

FMEs!
 
Nilidhani kugawanyika kwa mtandao kulitokana na UFISADI hivyo haya yote yanayotokea leo ni matokeo ya UFISADI na DHANA YA KULINDANA KATIKA KUSHUGHULIKIA MAFISADI ambao miongoni mwao ni vinara wa MTANDAO na walitumia kiasi fulani cha MAFAO YA UFISADI kujenga na kuimarisha MTANDAO?
Omarilyas

Hapana mkuu wangu Ufisadi Ulikuwepo muda wote, kabla na baada ya uchaguzi ndio maana wote Mtandao mafisadi walishika nyadhifa muhimu za kuvuta wenye uchungu wote walipigwa chini.. JK knew everymove alofanya Lowassa na walikuwa wakiwacheka Watindiga wanaonyesha uchungu sana na Taifa...Kumbukeni jamani JK akimwambia Mwanakijiji kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hizi kesi ndogo ndogo inatakiwa awafuate mawaziri au balozi, hata baada ya swala hilo kushindikana kwa waziri mkuu.

Lakini baada ya Ditto mkuu wangu tuliona sii tu kujiuzuru kwa Lowassa ila kapangua baraza zima la mawaziri..fagio la greda maanake.. halijawahi tokea..matokeo yake viongozi wengine wasirudi kabisa katika Uongozi..
Nyerere, Mwinyi, Mkapa wote walikuwa wakihamisha mawaziri tu, toka wizara hii kuingia nyingine au kuingia ktk shirika la Umma maadam ni watu wale wale tu ktk Uongozi. Lakini JK alivuruga kila kitu na kuanza upya wengine kina Rita nasikia ndio hivyo tena wanakamatia hata deal ndogo ndogo!.. shutri kwa kiapo kuwaambia watu aliwahi kuwa waziri..
Kwa hiyo mkuu walikuwepo ambao hawakuwa mafisadi waliopigwa chini, na wapo waliokuwa mafisadi wamebakia ktk Uongozi wa JK..
 
Last edited:
The best option kwao ni kuhama ccm. Wasipofanya hivyo kinachofuata wataondolewa kwa mafungu mafungu (one at a time) ili kuwa weaken. Wataishia kusalitiana wenyewe kwa wenyewe. If they do a collective action now, they will be counted and they are likely to make an impact. La sivyo wanyamaze milele ili wafie humohumo ccm. Wakiamua kusuluhishwa wajue wanaingia kwenye mtego mbaya sana. Hali ilipofikia haiwezi kusuluhishika. Na kama hali itaendelea hivi, wengi wa hawa jamaa hawatarudi bungeni mwakani.

Je wakiamua kuhama wahamie wapi? Wahamie chama cha upinzani kimoja wanachoona ni makini. Wakianzisha chao, wataishia kuugawa upinzani na wao hawatafika popote. Hii inahitaji hata viongozi wa sasa upinzani kukubali kuwa bila kupata boost ya watu kama hao, hawawezi kuishinda CCM siku za usoni. Viongozi wa upinzani waachane na daydreams za kuwa maRAis au Ma PMs, walenge kushinda hata ubunge kwa kishindo ili hata kama CCM (kilema) watashinda urais wawe minority party kwenye parliament na speaker wa bunge atoke oppostion (mpya). Who knows, the speaker could be the same person but from oposition.

Lakini juu ya yote timing ya kuhama ni muhimu sana.
 
Mkuu nisema mimi sii mwasiasa na pengine naweza sema pia sii mwana CCM, lakini naijua vizuri sana dawa ya haya yote na hakika labda nitawapa hint tu kuwa dawa ya matatizo ndani ya CCM, ni Wapiganaji wote jipangeni nyuma ya JK. Mkiweza kumwangusha adui wa ndani basi kazi itabakia ndogo sana kwenu na wananchi wote lakini kinyume cha hapo ni kuchangia karata wakati hujui mzungu kalala wapi wala huna turufu..

Najua kwamba mtashindwa kunielewa kwa sababu JK ni kiongozi aliyezembea na kuwaangusha wananchi sii mara moja wala mara mbili isipokuwa kwa kile kinachomuuma yeye! basi kwa kutazama hilo tu mtapata jibu jinsi ya kumtekenya Mkwere (kumradhi, sii tusi hili) akashika mori kama ilivyotokea baada ya...sijui kama mnakumbuka bado!..
 
ES...ushauri wangu usifanye Editing...wape kama ilivyo....!!! Kuna Umuhimu wa kujua hali halisi ya wanachi wote...ukianza Kuchuja utaharibu na inawezakana wakakosa kujua upande mwingine wa shilingi ukoje...!!! Mengine yatawafanya wacheke...!!!mengine kuhuzunika...mengine yatawafanya wafikirie mara 2 kabla hawajafanya uamuzi wa Mwisho....
 
- Mkulu Chuma vipi yakhe mbona ulipotea sana, nimekusikia sana mkuu.

Respect.

FMEs!
 
W. J. Malecela, aka Le Mutuz!

Badiliko lililotokea kwa Field Marshall ES ni kubwa mno kwa muda mfupi mno

Mwanzoni alikuwa hata lugha yake ni ya heshima kwa wenzake, maneno yake yalikuwa ya hekima na daima alitanguliza maslahi ya nchi.

Sasa ni mipasho tu, kejeli zimezidi, hamna heshima hata kidogo, anatetea hata mambo ambayo ni kulinda uozo na hivyo ni kinyume na maslahi ya Watanzania.
Inawezekana
au alipata celebral malaria,
au ametumia substance ambazo zimeharibu ubongo,
au amepata frustrations kubwa sana,
au amekosa ajira na sasa anabembeleza mkate wake CCM kwa propaganda za maji taka.

The change is so drastic
 
Last edited by a moderator:

- siku zote nimekuwa mpiganaji nataka mabadiliko ndani ya CCM, siogopi mtu na ndio maana simuogopi yoyote humu kama ambavyo simuopgopi yoyote ndani ya CCM, I am a man of my words, CCM chama changu kikikosea nakirekebisha, kion gozi yoyote wa CCM akikosea namrekebisha, sio kama nyie huko Slaa ana kadi ya CCM mnalia kila kona kmutetea, Mbowe anauzia Chadema malori mabovu mnahangika kila mahali kumtetea, mimi ni FMES, RO alipopewa nafasi nilimshambulia kuliko anybody humu JF na nje ya hapa, you know that na baada ya kufanya kazi in two years ninakakubali kwamba he is the best ever to our Security!!

- Nape ameingia uongozi wa Taifa kwa kurekebisha sio kwa kujikomba komba kama nyie huko Chadema, sisi hatuina hizo Tabia, akikosea hata awe nani anarekebishwa, Chadema hamna huo ubavu, sasa ngoja niwape bomu lingine ni jana tu nilikuwa nambebeleza Msichana mmoja toka Europe, yupo hapa likizo kuna Kiongozi wenu Chadema mashuhuri sana alienda huko akataka kumbaka na kesi ipo mahakamani kule majuu, nilikuwa nambembeleza aifute kesi kwa sababu yule Kiongozi ni rafiki yangu na nisingependa amalizike ingawa ni Chadema, ndio tabia zenu huko Chadema unafiki! unafiki na kutoambiana ukweli, CCM tunambiana ukweli tizama Video Makamba aliposhukia mafisadi Dodoma, na karibu wote ni marafiki zake wa karibu,

- Mimi ni CCM damu always sijawahi kuwa Chadema never na will never be, siku zote nimekuwa CCM na hoja zangu ni kuisaidia CCM na kuirekebisha CCM, Nape did the same, kama ni uanfiki na ukigeu geu ni huko kwenu ambako Slaa anaweza kugombea Urais akiwa Chadema na huku ana kadi ya CCM na anailipia!, najua mna hasira maana I am the master of this game na in the last ttwo weeks nimeigeuza this forums kichwa juu, mnababaika hamjui la kufanya maana mlizoea kujadiliana watu wote wenye mawazo sawa, akitokea mwenye mawazo tofauti mnamfungia na kumletea viroja, sasa mmekutana na jiwe, siwaogopi na wal sina wasi wasi kabisa na unafiki wenu!!

- Ni kweli at onetime tulipoanza tulikwua almost tuna ongea lugha moja ya mabadiliko, lakini never didi I betrayed my party CCM, mimi siiamini in watu never ninakiamini chama changu CCM na I work day and night for CCM, Viongozi wa CCM wanakuja na kupita CCM ipo pale pale, wakikosea nawambia tafuta Video zangu zote nikiwa huku bongo kila wakati ninairekebisha CCM, so people hapo hamna hoja kaeni tu mkao wa kula maana I am here na mawe yanakuja, ninawaonea sana huruma maana mnahangaika sana kuteteta msichokijua, infact wiki mbili sasa mnacheza muziki wangu, lakini bado nawaahidi kuigeuza hii sodoma and Gomora, mpaka kufikia uchaguzi 2015 mtakuwa maiti Chadema, I promise that with all my heart and soul!!

- Kuna siku mtoto wangu mdogo aliona matusi yenu Facebook, akaniuliza what is that, nikamuaahidi kwamba wale wote waliotukana na chama chao nitawafundisha adabu, na ndio maana nikarudisha vita hapa hapa JF! and here I am!!

- IN MY POCKET: NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MASHUHURI SANA KUTAKA KUMBAKA MSICHANA MDOGO DANA LONDON, NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MWINGINE MASHUHURI SANA KUMTIA MIMBA KIONGOZI WENU HUYU AKIWA NA MKE NA WATOTO, NINA DATAZ NYINGI SAANA, ILA KAENI MKAO WA KULA CAUSE I AM COMING TENA ON MY TIME SIO YOUR TIME, NDIO MTAKIJUA VIZURI SANA KIGEU GEU CHANGU!!

SUPER ES!!!
 
- On a contrary unaiongezea heshima Chadema kwa kutetea Slaa kuwa na kadi ya CCM! ha! ha! ha!

Es!
Kuishiwa ajenda ndio kunapelekea watu kushikilia vitu kama hivyo.

Eti ana kadi lakini si mwanachama (baada ya kubanwa na katiba ya CCM). Kipi muhimu zaidi kadi au uanachama?

Eti si mwanachama lakini analipia kadi (Katiba ya CCM haisemi kuhusu kulipia kadi). Kuna malipo ya kadi tofauti na ada ya uanachama? Kama hana uanachama analipia ada ya uanachama wa wapi? Au analipia nini?

Contradictions tupu, halafu eti ndio ajenda ya Katibu Mwenezi wa Chama. Aibu Aibu!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom