Nini itakuwa sifa ya kujiunga na a-level na vyuo vingine

ngwilla

Member
Aug 12, 2013
82
7
NDUGU YANGU KAHITIMU KIDATO CHA IV NA TAYARI KAPATA MATOKEO YAKE JANA KWA ALAMA TATU ZA C, MBLI ZA D,MOJA E NA F MOJA KWA JUMLA YA ALAMA 35.
SWALI KWA MWENYE KUJUA ALAMA ZA KUENDELEA KIDATO CHA 5 NA VYUO KAMA KILIMO,AFYA, ALAMA GANI NI KREDITI NA ZIWE NGAPI?
Asante!.
 
jamani, kijana wangu nilikuwa namhamasisha asome masomo ya sayansi, nilipenda awe daktari, mimi ni mwanasheria na sitaki wadogo zangu wawe wanasheria. namshukuru Mungu amepata BIOLOGY "B", CHEMISTRY "C" , PHYSICS "D" NA MATHEMATICS "D". kwenye masomo ya arts amefaulu yote kwa alama B na C tu. naomba Mungu afanikiwe kuchaguliwa shule nzuri ya sayansi kwa PCB, kama ikishindikana nampeleka hata za private kwa combination hiyo. sifa na utukufu kwa Mungu, mtoto mwenyewe ni yatima mtoto wa dadangu, kweli Mungu anawajua walio kwenye shida.

kwa wale wanaozijua shule za private nzuri, shule za sayansi, tusaidiane kuzitaja hapa. nataka afaulu hadi aende muhimbili. kwa msaada wa Mungu itawezekana hakika.
 
hongera sana kwa kuwajali ndugu zako wenye mahitaji, wengine hata kukushauri pitia njia hii wanaona wivu, ee mwenyezi mungu nibariki niwe na moyo wa kusaidia wahitaji!
 
jamani, kijana wangu nilikuwa namhamasisha asome masomo ya sayansi, nilipenda awe daktari, mimi ni mwanasheria na sitaki wadogo zangu wawe wanasheria. namshukuru Mungu amepata BIOLOGY "B", CHEMISTRY "C" , PHYSICS "D" NA MATHEMATICS "D". kwenye masomo ya arts amefaulu yote kwa alama B na C tu. naomba Mungu afanikiwe kuchaguliwa shule nzuri ya sayansi kwa PCB, kama ikishindikana nampeleka hata za private kwa combination hiyo. sifa na utukufu kwa Mungu, mtoto mwenyewe ni yatima mtoto wa dadangu, kweli Mungu anawajua walio kwenye shida.

kwa wale wanaozijua shule za private nzuri, shule za sayansi, tusaidiane kuzitaja hapa. nataka afaulu hadi aende muhimbili. kwa msaada wa Mungu itawezekana hakika.

inapendeza kwa matokeo hayo.
 
hutwo tupicha cjaelewa
 
hongera mkuu
 
Weee.. mwambie aache kabisa hiyo PCB labda kama ataenda Private.. na sio Serikali.. Fom Six atapata vitu vya ajabu..
 
tatizo sio division , hapo suala makalai matatu tu, hata kama nyingine zote ni fagio, acha kupotosha jamii ukafanya watoto wakate tamaa na shule,
 
Back
Top Bottom