Nini huwa ufanyika baada ya kufunga ndoa-hanmon

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,973
1,398
jamaa yangu anategemea kufunga ndoa miezi ya hivi karibuni lakini hajui nini huwa kinafanyika siku za harmon zaidi ya tendo la ndoa na kama ni mazungumzo je ni mazungumzo gani yanafaa kuongewa kipindi hicho na siku ngapi ni nzuri kwa ajili ya kukaa hanmon..wanajamvi mnaweza kutoa mafundisho yenu hapa nipate la kumpa jama yangu hivi karibuni nimeweza kumpa kidogo niliyokuwa nayajua ..nahitasji zaidi..
 
...mnh! kiukweli, mimi ningewashauri wasiende huko 'hanmon.'
Hakutakuwa na faida kwao zaidi ya kuiga.
 
hanmon ya nn wkt wanajua kila kitu? wizi mtupu warudi kwao wakalale jumatatu yake wawah kazini
 
hanmon mara nyingi kudadeki walahi! Ni mahali pa kula utamu kwa mara ya kwanza hasa kama demu mwenyewe ni bikra huwa ni rahaa hadi kisogoni siunaijua raha ya bikra wewe but kama ni screpa a.k.a mtumba a.k.a used a.k.a kuukuu a.k.a gumegume basi muambie aende nyumbani haitakuwa na maana raha ya ukweli waiondoe wengine yeye aishie kujifariji kwa kupoteza gharama za hanmon wiz mtupuuuu!
 
Na je kama bikra unayoizungumza hapo uliitoa wewe mkubwa,hanmon utaenda au?!!!
 
hanmon mara nyingi kudadeki walahi! Ni mahali pa kula utamu kwa mara ya kwanza hasa kama demu mwenyewe ni bikra huwa ni rahaa hadi kisogoni siunaijua raha ya bikra wewe but kama ni screpa a.k.a mtumba a.k.a used a.k.a kuukuu a.k.a gumegume basi muambie aende nyumbani haitakuwa na maana raha ya ukweli waiondoe wengine yeye aishie kujifariji kwa kupoteza gharama za hanmon wiz mtupuuuu!

ushidwe na ulegee,if psbo saydat 2 ur mama kama hatakulaan.
 
Kwetu uswazi maharusi tunawapeleka guesthouse kwisha kazi kesho yake twaamkia bichi. Na sikia wazungu huwa wanasafirigi maeneo mengine zaidi ya mji wao kwenda kujivinjari na kujuana zaidi. Kwavile ni siku za kwanza kwanza basi watu huzoeana zaidi kama wakienda mji mpya na kupotea pamoja na kufundishana kutegemeana. Hiyo ndo maana ya fungate.
 
hanmon mara nyingi kudadeki walahi! Ni mahali pa kula utamu kwa mara ya kwanza hasa kama demu mwenyewe ni bikra huwa ni rahaa hadi kisogoni siunaijua raha ya bikra wewe but kama ni screpa a.k.a mtumba a.k.a used a.k.a kuukuu a.k.a gumegume basi muambie aende nyumbani haitakuwa na maana raha ya ukweli waiondoe wengine yeye aishie kujifariji kwa kupoteza gharama za hanmon wiz mtupuuuu!

Makubwa!
 
NA KAMA MWANAMUME NI USED JE?

WATAKA MKE BIKRA WAKATI WW SI BIKRA :shut-mouth:
 
jamaa yangu anategemea kufunga ndoa miezi ya hivi karibuni lakini hajui nini huwa kinafanyika siku za harmon zaidi ya tendo la ndoa na kama ni mazungumzo je ni mazungumzo gani yanafaa kuongewa kipindi hicho na siku ngapi ni nzuri kwa ajili ya kukaa hanmon..wanajamvi mnaweza kutoa mafundisho yenu hapa nipate la kumpa jama yangu hivi karibuni nimeweza kumpa kidogo niliyokuwa nayajua ..nahitasji zaidi..

Sielewi kwanini ndugu yako anaoa wakati hajui kwa nini anaoa. hajui ni mazungumzo gani kuongea na mtarajiwa mwenzake? sasa sisi tutajuaje mipango ya ndoa yao na kimaisha? pia kuna mafundisho ya ndoa kama anafunga kidini, je anahudhuria?
Nampa pole sana!
 
hanmon mara nyingi kudadeki walahi! Ni mahali pa kula utamu kwa mara ya kwanza hasa kama demu mwenyewe ni bikra huwa ni rahaa hadi kisogoni siunaijua raha ya bikra wewe but kama ni screpa a.k.a mtumba a.k.a used a.k.a kuukuu a.k.a gumegume basi muambie aende nyumbani haitakuwa na maana raha ya ukweli waiondoe wengine yeye aishie kujifariji kwa kupoteza gharama za hanmon wiz mtupuuuu!

matusi/dharau izo zote za nin?
kwa iyo han muni yenu ni kwa ajili ya demu tu?na km si bkra basi haina maana?
it seems u dnt knw what is honeymoon..n wwhat t takes 2b

u better sht up:shut-mouth:..kuliko kujambajamba tu apa
 
[B]ni kuigana tu hakuna cha hanmon hapo wala nini na nimepata story katika hoteli moja (jina kapuni) kutoka kwa muhudumu mmoja kuwa hawa watu maharusi wakikaa hapo hotelini huwatamani wahudumu wa hoteli na kuwatongoza. sasa hebu fikiri mtu yuko hanmon na mkewe lakini bado anatongoza wahudumu wa hoteli!![/B]
 
kwa jinsi hii hizi "hanmon"/"honeymoon" zifutwe kabisaaa... :smiling:
 
Huwa wanapanga maisha pamoja na kucheki movies. Hakuna cha ziada ndugu!
 
[B]ni kuigana tu hakuna cha hanmon hapo wala nini na nimepata story katika hoteli moja (jina kapuni) kutoka kwa muhudumu mmoja kuwa hawa watu maharusi wakikaa hapo hotelini huwatamani wahudumu wa hoteli na kuwatongoza. sasa hebu fikiri mtu yuko hanmon na mkewe lakini bado anatongoza wahudumu wa hoteli!![/B]

Makubwa!!!!!!!!!!!! kwa hiyo mwanaume anatongoza wahudumu wa kike, na mwanamke anatongoza wahudumu wa kiume??????????????
 
Back
Top Bottom