Nini hutokea baada ya kufa?

Kuhofu Wafu: Wafu hawawezi kufanya chochote wala kuhisi lolote. Sisi hatuwezi kuwasaidia, nao hawawezi kutuumiza. (Zaburi 146:4; Mhubiri 9:5, 10) Nafsi hufa; haiendelei kuishi baada ya kifo. (Ezekieli 18:4) Lakini nyakati nyingine malaika waovu, waitwao roho waovu, hujifanya kuwa roho za wafu. Desturi zozote zinazohusiana na kuhofu au kuabudu wafu ni mbaya.—Isaya 8:19.
 
Back
Top Bottom