Nini husababishwa mwanaume kukosa uzazi?

OkSIR

Senior Member
Jun 3, 2009
108
1
Nini husababishwa mwanaume kukosa uzazi?
Mara nyingi mwanaume hukosa uzazi hasa kutokana na:-
Tatizo la kushindwa kutengeneza mbegu (sperms) – huzalisha kiwango kidogo sana au hakuna kabisa.
Tatizo la sperms kushindwa kulifikia yai na kufanya fertilization- inawezekana sperms zina shape au structure inayozuia kuweza kulifikia yai.
Wakati mwingine mwanaume anazaliwa na tatizo ambalo huathiri sperms zake na wengine tatizo huanza baadae ktk maisha kutokana na kuugua au injury. (kama vile cystic fibrosis)

Nini huongeza uwezekano wa mwanaume kukosa kizazi?
Ukweli ni kwamba uwingi na ubora wa sperms za mwanaume huweza kuathiriwa sana na afya yake na life style.
Vitu ambavyo huweza kupunguza uwingi na ubora wa sperm ni kama vile”
Pombe, madawa (drugs), kuvuta sigara, mionzi (chemotherapy), umri, matatizo ya afya, sumu kutokana na mazingira (lead, pesticides)

Bottom line:
Issue ya kupata mtoto ni issue sensitive mna kwa wanandoa, ni Mungu peke yake anayeweza kuwa na solution kwani pamoja na kuwa na kiwango cha juu sana cha technology bado suala la kupata mtoto limekuwa gumu (infertility).

Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
(Mathayo 19:26)​
 
this is bad especiaaly for those taking medicines regularly due to the diseases facing them. Can i ask if piriton, colodaur, coldcap etc related to the prevention of influenza can be also the cause, the problem is am also addicted in taking those mentioned medicines. Please let us share what we have because everyone likes to have children.
thanks JF members as i biliv that we will share the knowledge we have
 
icon1.gif
Re: Nini husababishwa mwanaume kukosa uzazi?

Kichwa cha habari kama kinavyosomeka hakijakaa vizuri, i pressume its a typing error.

Tunashukuru Mr Oksir kwa maelezo mazuri. Nina imani mada hii itawasaidia wengi na labda kuwaepusha na tatizo ambalo huenda walikuwa wanalisababisha wenyewe.
Lete mambo mazuri mkuu!
 
icon1.gif
Re: Nini husababishwa mwanaume kukosa uzazi?

Kichwa cha habari kama kinavyosomeka hakijakaa vizuri, i pressume its a typing error.

Tunashukuru Mr Oksir kwa maelezo mazuri. Nina imani mada hii itawasaidia wengi na labda kuwaepusha na tatizo ambalo huenda walikuwa wanalisababisha wenyewe.
Lete mambo mazuri mkuu!

Only moderator can change it. The mthreadishaji has no right to access the change. You know. Irreversible to all of us but reversible to invisible
 
icon1.gif
Re: Nini husababishwa mwanaume kukosa uzazi?

Kichwa cha habari kama kinavyosomeka hakijakaa vizuri, i pressume its a typing error.!

Kweli
lakini point ya msingi inaeleweka, twende kazi Mwalyambi30
 
Nimewahi kusikia kuwa waendeshao trekta kwa muda mrefu,nao huathirika baada ya muda fulani. Tafadhali kama kuna mtu anajua atusaidie.
 
Nimewahi kusikia kuwa waendeshao trekta kwa muda mrefu,nao huathirika baada ya muda fulani. Tafadhali kama kuna mtu anajua atusaidie.
Hata mimi hii nimeshaisikia pia kwa wale wanaoendesha baiskeli kwa muda mrefu wanaweza kupata tatizo hili
 
Wana JF hii ni ishu inayosumbua wanaume wengi ila hawapendi kipima kujua hali zao badala yake huwagandamiza wake zao kwa kuwaambia wao ndio wenye matatizo. Mimi nina jamaa zangu wanne wanatatizo hili na wametumia dawa za hospitali lakini mambo hayajakaa sawa kama kuna mmojawenu anafahamu mitishamba inayotibu au kuongeza mbegu za kiume (sperms) atujulishe ili niwasaidie.
 
Mungu ndiye mtoa watoto. watoto ni zawadi toka kwa Mungu. ukipata watoto shukuru Mungu, kama haujapata mwombe Mungu atakupatia. duniani kuna matatizo mengi,hili nalo ni moja wapo. lakini hata kama mtu aliathirika na kitu chochote hata kusababisha hivyo, akirudi kwa Mungu wake kwa njia ya Yesu Kristo, atasamehewa na Mungu atampatia watoto wazuri wakiume na wakike.

hivyo, kama kuna mtu hapa ana tatizo hili, hakuna haja ya kuzungukazungua, nenda kwenye kanisa la kuokoa, okoka na utaona majibu yake. kama unaona kuokoka noma, basi kubaliana na hali uliyonayo na tatizo ulilo nalo. ila ni bora ujaribishe ili uona kama nabisha au la.
 
Back
Top Bottom