Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
Hellooo,hivi ni nini hasa husababisha mtoto kulia sana wakati wa usiku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini jf?hongera
umepata mtoto gani ?
nashauri aitwe jf
Asilale chali!Mtoto mdogo atalalaje ubavu?Inaweza kuwa njaa, tumbo kujaa gesi kutokana na kunyonya vibaya, baridi, joto, kuvalishwa nguo ngumu zinazomuumiza, chumba kutokuwa na hewa ya kutosha, harufu isiyopendeza, kulala vibaya( usimlaze mtoto chali) na pengine mauzauza ya kishirikina ( Najua mtapinga kwa kuwa havijawakuta au mnajifanya serikali kutotambua uchawi wakati upo ).
Ingia hapa mada maalum ya watotoHellooo,hivi ni nini hasa husababisha mtoto kulia sana wakati wa usiku?
Okay,shukrani.Ingia hapa mada maalum ya watoto
Jibu la kitafiti hili hapa.View attachment 432676