Nini Hatma ya waliokosea applications za loans?

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
Loans Board imetoa majina ya undergraduates walifanya makosa mbalimbali katika ujazaji wa forms zao za mikopo, lakini hawajasema nini wanatakiwa wafanye ndio kusema imekula kwao au ndo nini kinafuata kwa watu hao,,,,
 
dah wameanza visa, walianza na priority and non priority sasa wamekuja na hl na hawajasema hawa wa2 wafanye nini
 
Hali ni tete ila watu wakiingia chuo wakaraise sijui itakuwa vipi maana maandamano siku hizi ni hatari.
 
hao mkuu...mhh...cjui nsemeje..ukichek ya walim,madokta na hili tif tifu la vita,nahisi watakua wanawapotezea mana(wanavyodai au watavyodai) serikali imefulia....mh bariki mana hali si njema!!
 
Xaxa nini maana ya kauli mbiu ya hii bodi yao maana mmnh, kigugumizi atiee
 
Back
Top Bottom