Nini hatma ya ubunge/uongozi wa Chenge baada ya hukumu?

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
inawezekana nikawa nyuma ya mabadilikob ya katiba na vipengele vya sheria hapa nchini.Ila kwa ufahamu wangu ni kwamba ukikiwa na tuhuma na kuthibitika mahakamani unakosa na hukumu ikatolwa kama adhabu ya kosa hilo iwe kifungo/fine ama vyote viwili na ukavitekeleza.tayari unakuwa haunasifa ya kuwa kiongozi.

Je, kwa hili la Chenge wajuvi wa sheri naomba mnijuze itakuaje.
 
Back
Top Bottom