iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
jf ni maktaba ya vizazi na vizazi,labda yule.malaika wa.mitandao apate mualiko kuja TanzaniaDah! hatari sana.
jf ni maktaba ya vizazi na vizazi,labda yule.malaika wa.mitandao apate mualiko kuja TanzaniaDah! hatari sana.
kuna uzi wa 2011 nimeupandisha,uchekiNilikuwa siamini hii story!!
WaTz bhana,Wanadhani watadumu kwenye hivyo vyeo maisha yao yote.View attachment 433171 View attachment 433169 Huyu mhe (rip) alijenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo,inatumika kwa shughuli gani?
napendekeza ifanywe dispensary au itafutiwe matumizi mengine ya umma
au dada tulizoInabidi Ndugai ahamie Tabora kwenye ofisi ya spika.
Uwanja wa mpira hapa Tanzania hakuna jambo gumuTunajadili hili kwa sababu mzee wetu sita katutoka ila kama tutakuwa na uwanja wa ndege mkubwa na hakuna ndege ya kutua tutageuza kuwa kitu gani?
kweli kabisa......mambo ya GbadoliteMkuu uko Nchi gani wewe? Mzee Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni mwake mpaka leo sijui huyu Mzee alikuwa anafikiri nini, lakini ndivyo Viongozi wa Afrika walivyo maana hata Gaddaffi alijenda Makao makuu ya AU kjiji kwao Siirte
Nini kilimfanya aijenge kwao? aliamini atakuwa speaker milele?View attachment 433171 View attachment 433169 Huyu mhe (rip) alijenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo,inatumika kwa shughuli gani?
napendekeza ifanywe dispensary au itafutiwe matumizi mengine ya umma
Kipindi cha Uspika wake ndugu Samwel John Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni Mwake Urambo ( Sijui huyu alikuwa anawaza nini)
1. Je Haukuwa Ubadhirifu wa Mali ya Uma ukizingatia sasa hivi ile ofisi haitumiki?
2. Je itakuwa ni Busara kwamba Bunge liweke kigezo cha Kuwa Mbunge wa Urambo kama kimojawapo cha mtu Kugombea nafasi ya Spika ili ile ofisi iwe inatumika?
3. Nini Hatima ya ile ofisi je itumike kama Kituo cha afya?
Wapambe wa Sitta akina Malaria Sugu, FaizaFoxy, rizt, Rejao pamoja na kutambua kwamba Mgao wa Vocha Umepungua naamini mtapata nafasi ya kuja kutoa Mawazo yenu pia.
kuna uzi kama huu upo tangu 2011Kwanini umeibua hii hoja baada ya yeye kufariki?
kuna uzi kama huu upo tangu 2011
ndio mkuuSasa kwanini umeanzisha mwingine au umetumwa?
maswali magumuMwishoni mwa uspika wa Samwel Sitta, serikali ilijenga ofisi ya spika wa bunge Urambo Tabora ambako ni jimboni kwa spika wa wakati huo mheshimiwa Samweli Sitta. Maswali yangu ni haya:
1. Samweli Sitaa siyo spika tena. Je anaitumia ofisi hiyo au hapana? Na kama ndio anaitumia kama nani na kwa shughuli z
zipi?
2. Spika wa sasa Anna Makinda ameshaitumia ofisi hiyo mara ngapi? Na kama haitumii ni kwanini?!
3. Je utaratibu wa kujenga ofisi kwenye kila jimbo analotoka spika utaendelea?
4. Je ilikusudiwa Sitta awe spika wa kudumu mpaka kufa kwake?
5. Kama ofisi hiyo haitumiki na spika aliyepita na aliyepo ni ya nini? Inafaa kuendelea kuwepo? kwanini isigeuzwe darasa
shule au ghala la kuhifadhia asali?