Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

Mabepari wameinyakua tayari wanamaliza mchakato tu waifungue meanwhile kama umeopoa kitu chako cha fasta fasta posta pale watoto wa maofisini basi nenda pale ukapate dormant embassy hotel room service.
 
Embassy Hotel - Ina historia kihandisi

Nakumbuka nikiwa mwanafunzi tulipelekwa pale (late 70,s) kuona kwa vitendo - Ilikuwa moja ya maghorofa substantial ya kwanza Dar es Salaam yaliyojengwa kwa structure ya steel badala ya reinforced concrete ilivyozoeleka.
 
Tatizo liliokuwa kubwa pale ni kwamba ilitakiwa anayenunua hotel alipe mafao ya wafanyakazi na kuwapatia mikataba mipya ya ajira,sasa hapo ndio utata ndio maana ikawa inabadilishwa kutoka kwa huyu kwnda kwa yule kila mtu akikwepa hayo maslahi ya wafanyakazai.na hiyo condition serekali ndo walioiweka.
 
Agip na Embassy hotel zimeshauzwa na zote zimenunuliwa na the same person.
 
Kuliko jengo kama hili potential namna hii linakaa idle ni bora wakalifanyia usafi wakapangisha wanafunzi wa ifm ....maana wanafunzi wanakwenda kuishi mbali na chuo wakati kuna majengo yamekaa bwerereee hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mabepari wameinyakua tayari wanamaliza mchakato tu waifungue meanwhile kama umeopoa kitu chako cha fasta fasta posta pale watoto wa maofisini basi nenda pale ukapate dormant embassy hotel room service.

Jamani mbona tunakapiga vita kale kaugonjwa?
 
Na pale ilipokuwa Agip Hotel kuna tatizo gani? Kuna mtu anaaka kupachukua bila kulipa?
 
Wakuu kuna mwenye taarifa nini kinaendelea juu ya hoteli hizi kongwe? Hali ya majengo inasikitisha sana,nini kinaendelea maana ni miaka mingi mno!
 
kuna Wawekezaji Wazawa walinunua Embassy Hotel but awana pesa ata za kumalizia deni na ata la kuwalipa mafao wafanyakazi wake.
ununuaji similar na ule wa UDA na Simon Group.
 
Anasubiriwa mwekezaji wa kuja kuzifufua, nahisi atatoka bara hindi au arabuni.
Mkuu ukiangalia location ya hoteli katikati kabisa mwa jiji la Dar! Sioni justification ya kutopata muwekezaji kwa muda mrefu hivi,hata kama kumekuwa na kesi lakini sidhani kama uelekeo wa hiyo kesi unaweza kuwa threat kiasi hiki.kama wameshindwa zigeuzwe hosteli za chuo kama mzumbe au IFM kieleweke! Majengo yanakufa bure tugeuze matumizi yake.
 
kuna Wawekezaji Wazawa walinunua Embassy Hotel but awana pesa ata za kumalizia deni na ata la kuwalipa mafao wafanyakazi wake.
ununuaji similar na ule wa UDA na Simon Group.



jamani tusiharubu matumizi ya lugha pendwa ya kiswahili, hapo kwenye red usahihi ni HAWANA SIYO AWANA, NI HATA NA SIYO ATA, ATA NI UNGA WA NGANO WENYE RANGI YA BROWN


TUENZI LUGHA KWA KUANDIKA SAHIHI
 
Mkuu ukiangalia location ya hoteli katikati kabisa mwa jiji la Dar! Sioni justification ya kutopata muwekezaji kwa muda mrefu hivi,hata kama kumekuwa na kesi lakini sidhani kama value ya hiyo kesi inaweza kuwa threat kiasi hiki.kama wameshindwa zigeuzwe hosteli za chuo kama mzumbe au IFM kieleweke! Majengo yanakufa bure tugeuze matumizi yake.

Nji ina wenyewe hii, watu hawapendi kusikia mwekezaji wa ndani. wenzetu ethiopi wamejenga mradi wa umeme wa megawati buku 5 kwa pesa zao wenyewe! sisi tunasubiri mwekezaji kila eneo, mpaka kilimo?
 
Back
Top Bottom