Nini hasa sababu kuu ya kubadilisha pesa?

Hivi noti za sasa hivi ndo zipi hapo, wenzenu sasa hivi ukitaka sukari kwa mpemba unapeleka kuku!. Mambo ya better trade!.


Hahahahaha,mkuu umeniacha hoi,hapo hakuna noti mpya za sasa hivi na ndio maana nimeomba kama kuna mwenye picha zake anisaidie.
 


Hii kabla ya uhuru zamani za Sultan Sulaiman ibn al-Hasan of Kilwa.Iko Museum UK.
 
Sababu zipo nyingi, lakani la kushangaza ni kuwa noti mpya zinachakaa haraka kuliko toleo lilipita. hivyo gharama ya uchapaji inaweza kuwa kubwa kuliko za sasa.
 
Pamoja na ufisadi wa 10% nafikiri wakisha kula hazina ikiishiwa fedha, na vichwa vyao si creative vya kukusanya kodi na kusimamia raslimali za taifa ili kukidhi mahitaji ya ndani ya nchi kama ulipaji mishahara watumishi wa umma, wanaamua kuchongesha pesa nyingine.

Hii material ni karatasi za mgororo? laiti wangekuwa wanatengeneza kwa kutumia special thin linen kama dola. wasingekuwa wanabadilisha noti kila mara.
 
Back
Top Bottom