Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

Roughly I can say that the purpose is to provide self determination at every level of society.
Self determination!...A theorical intrinsic motivation. My question remains What exactly was promised behind this theory? within what perspective and intergration of what was experienced provided the basis for a coherent sense of self determination. What real was planted in our head, building self confidance addressing important issues concerning our need for independence!

To say, Self determination doesn't click in my head, somethings were promised for change, that's why people were all in favour independence and support the ruling party or self govern. Now, if we claim have lost or never achieved all the things which mattered to us, being the initial goals behind self determination (of which I don't know), can we step back and lay them down, hence wasn't for a integrative cause rather to the fact that the relevant contingencies we encountered were organized and systematic.

So was it black thing? making sure we were not ruled or economically controlled by foreigners? - Really? any better! Was it civil right movement against political injustices of racism and imperialism!. Yet, again if was self determination in all aspect how were we to achieve all that without engaging with the same people we have condemned!

Brother, I would prefer to use swahili for I am not confortable with the use of English where by issues are concerning my fellow Tanzanians. It makes me feel empty and stupid, sorry if I have caused any inconvenience!
 
Self determination!...A theorical intrinsic motivation. My question remains What exactly was promised behind this theory? within what perspective and intergration of what was experienced provided the basis for a coherent sense of self determination. What real was planted in our head, building self confidance addressing important issues concerning our need for independence!

To say, Self determination doesn't click in my head, somethings were promised for change, that's why people were all in favour independence and support the ruling party or self govern. Now, if we claim have lost or never achieved all the things which mattered to us, being the initial goals behind self determination (of which I don't know), can we step back and lay them down, hence wasn’t for a integrative cause rather to the fact that the relevant contingencies we encountered were organized and systematic.

So was it black thing? making sure we were not ruled or economically controlled by foreigners? - Really? any better! Was it civil right movement against political injustices of racism and imperialism!. Yet, again if was self determination in all aspect how were we to achieve all that without engaging with the same people we have condemned!

Brother, I would prefer to use swahili for I am not confortable with the use of English where by issues are concerning my fellow Tanzanians. It makes me feel empty and stupid, sorry if I have caused any inconvenience!

Mkandara:

It’s natural to narrow your focus when you have to unite people from different backgrounds to fight for a common cause. However, when the fight is over, you have to rise up to challenges and find a new narrative that will keep the momentum up.

Fighting for the independence of Tanzania, or for that matter of any African countries, was a common cause that united people from different backgrounds. Our common enemies were the foreign oppressors and the independence was fought mainly to get rid of them. So the promises that were made back then were primary intended to address the immediate grievances of the people. They didn’t have a crystal ball to see that in the future the land of Mkandara’s grandfather will be sold to foreign investors. If they could have seen the future, perhaps they would have negotiated a different form of independence.

One more thing, the day we got our independence, the premises that united people for their freedom ceased to exist. However, the legacies of colonial rule didn’t. For examples, the colonialists introduced modernity. The independence wasn’t supposed to slow down modernity. They left power imbalance between few educated elites and the rest. In other words, the post-independence challenges were more difficult to conquer than the fight for independence itself.

So to answer you queries, I think some of us have decided to take a short cut because post-independence challenges are too stiff to entertain. If I can brutalize my own people and empower myself economically, why should I care? I am not implying that I brutalize my own people, but that is the effort of many Tanzanians who want to excel today. We don’t view that standard of living is better when people around you are doing better on their own. Even in a capitalist country, you will be a bored rich man, if you are the only rich person in town.

In short we are practicing the worst form of capitalism.
 
Thread nzuri
Ndio maana yake mkuu, ukiisoma vizuri hii mada kisha ukatazama tulipofika na wapi tunakwenda.. Inatisha! ni kama sinema vile, mtu anaingia nyumba ya mauaji akifikiri kasalimika baada ya kufukuzwa na Simba porini..
 
Baada ya Mada hii kuwepo kwa muda mrefu tukiulizana juu ya dhumuni la Uhuru wetu, nimepata majibu mengi sana lakini pamoja na yote haya tumeshindwa kuelezea Watanzania waliahidiwa nini wakati tunagombea Uhuru wetu na sasa narejesha tena hoja ile kwa kuyaweka maneno ya Mwalimu Nyerere kabla na baada ya Uhuru alisema nini na nini ilikuwa vision yake. Mwalimu Nyerere alisema haya:-

"Tuna maana gani tunapozungumzia UHURU? kuna mambo matatu, Kwanza ni Uhuru wa nchi kujitawala yaani uwezo wa wananchi wa Tanzania kujipangia maisha yao, wakijitawala wenyewe pasipo kuingiliwa na mtu yeyote asiyekuwa Mtanzania. Pili, Uhuru wa kutosumbuliwa na njaa, Maradhi na umaskini na Tatu ni Uhuru wa mtu binafsi, yaani haki yake ya kuishi akiheshimika sawa na watu wengine wote, Uhuru wake wa kusema na kushiriki katika maaamuzi ya mambo yote yanayohusu maisha yake, na uhuru wa kutokamatwa ovyo na kutiwa ndani kwa kuwa tu kamuudhi mkubwa japo hakuvunja sheria. Yote haya ni mambo yanayohusu Uhuru na hatuwezi kusema wananchi wa Tanzania wako huru mpaka tumehakikisha wana Uhuru wa mambo yote haya"

Kazi kweli kwlei...Sasa leo hii tumesimama wapi katika kusimamia mambo haya na tunakwenda wapi ikiwa yote haya yamebakia maandishi ktk vitabu vya kumbukumbu za mwalimu..
 
With regard to the freedom of the country and individual liberty, Nyerere was right. But my question is why his statement didn't enshrine the constitution of the country? also from his statement, one could draw a conclusion that he never envisioned a home grown oppressor.
 
Mkuu wangu nakusikia sana ila tu nashindwa kuyaunganisha mawazo yako na Ukweli...Unaposema Kujitawala una maana gani?..Maanake mfumo wa uongozi kiutawala hauna tofauti baina ya mkoloni na leo hii. Na unapozungumzia Umaskini pia sii kweli kwamba tulipokuwa tumetawaliwa swala la umaskini lilikuwa sababu ya kuutafuta UHURU..Hili halikuwa sababu wala sii tatizo linaloweza kusukuma maana nzima ya nchi kuwa huru UHURU isipokuwa umaskini ni MATOKEO ya utawala dhalimu.. hakuna alama nzuri ya kuonyesha utawala bora zaidi ya kufuta Umaskini..kwani utawala dhalimu wowote mkubwa umaskinisha watawaliwa. hili elewa, nani somo zuri sana la kupima uhuru na utawala bora

Kinachogomba hapa nadhani ni kuipoteza ile azma iliyowekwa ktk kuutafuta Uhuru... Kama sababu kubwa ya Uhuru ilikuwa kujitawala na kupanga mambo yetu wenyewe nadhani ipo haja kubwa ya kutafsiri vizuri hili neno KUJITAWALA.. kwa sababu matumizi ya kuwepo kwa serikali na viongozi ngazi ya chama inaondoa kabisa maana ya kujitawala. Chama tawala ndicho kinachotawa na chama hicho kinaweza tumia sababu zote za kiutawala kuwakilisha kundi lao liwe la kabila, dini ama rangi..
Maadam ipo serikali chini ya chama kinayotawala, basi wananchi watakuwa bado wanatawaliwa na serikali ya chama hicho iwe CCM ama Mkoloni. Tofauti baina ya CCM na mkoloni inakuwa ni baina ya mtawala mzawa na mtawala mlowezi..

Siwezi kuweka madai kwamba leo hii tunajitawala na kuamua mambo yetu wenyewe hali maamuzi yote makubwa ya maendeleo ya nchi hii yanafanywa na kundi dogo sana la Watawala..
Sasa ieleweke kwamba kisiasa hata mkoloni alifanya maamuzi mengi kwa faida ya nchi hali ukweli unaonyesha wazi ilikuwa kwa faida yao ama malkia, leo hii kinachotokea pia ni uongozi wa nchi zetu unafanywa na viongozi wenye rangi ya chama ambao pia wanatazama maslahi yao, chama na wafuasi zaidi ya maslahi ya nchi..

Badala ya mkoloni akitetea maslahi ya Malkia, leo hii tuna viongozi wanatetea maslahi ya chama mbele ya taifa. Na nina hakika ukiwauliza nafsi za viongozi wengi kuhusiana na yapi maslahi tangulizi baina ya nchi na chama watasema ya Taifa (Siasa) lakini ukweli ni kwamba maslahi ya chama hutangulia yale ya Taifa hadi leo hii..Hivyo Malkia wetu wa sasa hivi anakuwa chama tawala. Sheria zote zinatungwa na kupitishwa kulinda maslahi ya chama na viongozi wake kama walivyokuwa wakijilinda wakoloni.

Mfano mdogo ni huyu Mpendazoe, leo kujitoa kwake CCM imeonekana kama ni msaliti wa nchi nzima na sii chama, yaani kashindwa kulinda na kutetea maslahi ya chama..hakuna mtu anayejali nini malengo ya kujiengua kwake na wala hayana mjadala. Nguvu kubwa ya vyama vya upinzani ni kumwondoa CCM kama vile juhudi zilizotumika kumwondoa Mkoloni, na ukisoma hoja zao kwa makini, utaona sababu kubwa zinazotumika hazina tofauti na zile zilizotumika wakati wa mkoloni.

Kinachoninda mimi kuelewa ni pale chama tawala kinaposhindwa kuliona kalio lao wenyewe...chama kinaweza kueleza mabaya yote ya mkoloni lakini wakati huo huo kinaendeleza mabaya yaleyale ya mkoloni. Leo historia inajirudia kama vitabu vya dini vinavyosema (kuran)...tunaanza kuuza ardhi zetu kwa wageni kama walivyofanya mababu zetu tukitumia neno ukoloni mamboleo...tena kwa makusudi tunaitangaza nchi yetu,ardhi yetu kuwa ipo huru na kubwa kutawaliwa kiuchumi..Aint we going back in history?

Napita
 
Back
Top Bottom