Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

These people are not serious, kwa kawaida Mabom hutakiwa kupigwa kama upande wa pili kuna mtu mmoja wau zaidi ana Silaha ya moto, unaweza tumia Maboma au Bunduki kwa kumtisha na si kumuua, Sasa Josephin alikosa nini mpaka waka taka kumpasua kichwa?

Na hao ndugu wengine hata sijui kama wamepona Hivi Watanzania tunakwenda wapi tuandamane bhana
 
hapu utashangaa kusikia Bi. Jose alipigwa na askari wa kiume!!!

dume zima unapiga mwanamke?
 
Tanzania si Nchi huru kabisa kwasababu hata vitu vingi sana vinakwenda kidicteta, Sasa hivi imetolewa Amri kwa Watumaji wa umeme wa Tanesco, ambao ni 99.09, wa tanzania ni watumiaji wa Tazesko tuongezewa Gharama za kulipia umeme,
Viongozi tulio wachagua kwa mbwembwe wapo na hawakulitetea wala kulitolea mawazo ili kupunguza Gharama za maisha za wananchi wao wanao wategemea,
yaani mimi naona kama hatuna selikali ni uchafu tu ulio kaa huko

mkuu hapo kwenye red si sahihi. Watumiaji wa umeme nchi hii ni chini ya 15% na kati ya hiyo 15% wengi wao wanatumia umeme kwa kuwasha taa na TV tu kutokana na gharama ya umeme kuwa kubwa.
 
hahahahah Utingo Asante sana, mi nilikuwa namaanisha Wa mjini hahaahaha but Thanks
 
Watu wasio na hatia wataendelea kumwaga Dau mpaka waishe Mjini Arusha na Wataendelea kupata Suport kutoka kona zote za Tanzania zinazopenda Maendeleo kuyapinga Maamuzi ya CCM ya kuzuia Maendeleo Nchini kiujumla,

Mapambano yanaendelea na SLaa hataki Tena mazungumzo na CCM

UAmUZI MZURI TULILALA SANA NA SASA TUMEAMKA JK JIANDAE MWAKA HUU TUTAANDAMANA MPAKA IKULU KWA MAMA SALMA
 
Iliyopata Uhuru 1961 NI TANGANYIKA!...na ndiyo hiyo inayotakiwa!
Hii nchi iliyotengenezwa mezani(Tanzania) bado ni koloni-kongwe la neo-colonialists!
Nadhani tunapoongelea katiba tuanze Taratibu kuongelea nchi yetu TANGANYIKA!
Tusimsahau Mc.Mtikila kwenye mikusanyiko yetu yoyote inayohusu katiba!

Tanzania ni nchi Mazabe naunganga mkono kwa hilo.
 
Hivi hii nchi ina mambo ya kichina kichina tuu,, yaani kila kitu cha Kfoji Selikali ya kufoji, Nchi yenyewe kufoji, coz Sija wahi kusikia Nchui moja Maraisi wasili jamani Strange
 
hivyo ndivyo ilivyokuwa kule Arusha
 
Attachments

  • asdasd.docx
    533.4 KB · Views: 61
Tanzaniaaaa, hivi majukum ya Raisi wa Zenj katika Selikali ya Muungano ninini?
Maana mi naona kama huu ujuzi siji wametoa Beijing au hongkong wananichanganya tu na mwenendo wa Hii nchi
 
Kwa machafuko yaliyotokea Arusha mara mbili kwa vipindi, Yanadhihilisha kuwa Tanzania si nchi huru. kwasababu njia halisi na ya uraisikufikisha ujumbe kwa jamii kuwa kikundi fulani cha watu hakilidhiki na jambo fulani ambalo linafanyika Selikalini ni Maandamano pekee
Lkini wenzetu wanayafanya Maandamano ndo kiwanja cha kujifunzia mazoezi ya Kupiga watu virungu na kulipua mabomu.

Hapa uhuru uko wapi?
 
Ningeomba mada hii iendelezwe maana kuna maswali mada nyingi sana hapa ktk jukwaa hili zinatokana na mwanzo huu - UHURU wetu ulikuwa na malengo gani?
 
Tusibeze uhuru hata kidogo. Haki ya kujitawala ni haki ya msingi hata kama katika kujitawala huko utafanya madudu. Viongozi waasisi kazi yao ilikuwa ukombozi, waliofuata ndio wametufikisha hapa tulipo, sisi sasa tuangalie maendeleo. Kufikiri matokeo ya uhuru yalipaswa kuwa maendeleo ya kiuchumi, ni kushidwa kuelewa hata hapa tulipo isingekuwa uhuru tusingeweza fika. Sitaki kutawaliwa tena kwa sababu yoyote ile!
 
Willo,

Karibu sana ndugu yangu. Nashukuru sana kwa kunipa mwanga huo kwani kila napojaribu kutafuta dawa ya radhi hili la umaskini huwa nashindwa kabisa kuelewa chanzo chake! Na hasa maradhi haya yanaambukizwa na virusi gani!

kwa hiyo ndugu yangu, swala la uchumi wetu haliwezi kuwa rahisi kwa mtanzania myonge ikiwa hakuna sheria ya kiuchumi inayomlinda. Na hao wanaoshika nguzo zote za uchumi wetu ni watu wa kuja yaani wageni, jambo ambalo kwa mshangao nimeona kichwa cha habari ktk jarida - maskani ya tovuti hii limepongeza sana juhudi za Mkapa na hali ambayo TZ ipo leo hii. Kwa mtazamo wa haraka naweza kusema kweli kuna mabadiliko mengi ya kiuchumi na mikakati mingi imeanzishwa lakini kama ulivyosema hapo juu.

Wananchi hawakuandaliwa KABLA ya zoezi zima kuanza. Je, kuna uwezekano jamaa zetu akina Idd Simba sio waathirika wa mfumo mzima wa uchumi nchini. Na ikiwa ndivyo ilivyotakiwa kuwa isipokuwa kosa ni elimu ya Utandawazi kwa wananchi... Je, hao wananchi baada ya elimu wataanzia wapi ikiwa nguzo hizo bado zimeshikwa na baadhi warithi wachache? Je malengo yetu ni kuongeza nguvu ipi hasa na kwa faida ya nani?

Ni matumaini yangu bodi hii ya JF itawalenga sana wananchi wenye uwezo wa kuzalisha isipokuwa wamekandamizwa na hawa warithi wasiokuwa na uchungu. Wavuvi wa Sangara huko Mwanza, Wachimba madini huko Arusha na Songea, wafugaji wa ng'ombe, Wakulima wa mazao wote wapatiwe chombo ambacho kitawasaidia kujiendeleza. Isiwe kabisa dhumuni la JF ni kutoa elimu kwa wananchi hali sheria haiwalindi! wala hakuna chombo ambacho kinaweza kuwapa taarifa za soko huria! na wapi pa kuuza mali zao bila kupitia kwa wahindi. Mfano wa zao la Korosho kupitia India na sangara kununuliwa kwa bei hafifu hali inauzwa nje kwa bei mara mia nane ya bei ya mvuvi sii haki. Ikiwa kweli uwekezaji ni machine ambazo hazina gharama kubwa sana basi halmashauri za mikoa ziwe msitari wa mbele kuhakikisha wazawa wanapewa mikopo kupitia jumuiya zao ama chombo hiki.

Wakati umefika kwa wananchi tuweze kuziona tofauti kati ya ukoloni na Uhuru kwa mazuri yake...hasa tukizingatia utandawazi.

Hivi tuna dira ya kiuchumi ya kitaifa inayolenga kuonesha mtanzania anaondokaje na umaskini ndani ya muda fulani? I mean national economy policy geared towards progressive eradication of poverty within specified period of time?
 
Mkuu hatuna ila tumeandikiwa na wazungu kwa kutegemea misaada. yaani umaskini wetu wenyewe tunategemea kusaidia toka nje hapo ndio utajua kwamba hata yule kiongozi aliyepo juu siku mambo yakimwaribikia basi atachukua bakuli na kuanza kuomba barabarani maana hatuna njia nyingine zaidi ya kuwa ombaomba fedha mkononi kijikimu. Kifupi leo hii fikra za kila Mtanzania - Fedha ndio msingi wa mmaendeleo!
 
Mkandara;

Could you please allude me why did Nyerere fail? Unlike his successors, he wrote his own development blue prints, but at the end of the day his blue prints were as good as the work of illiterate.
 
Nafikiri lengo la baba wa taifa ilikuwa ni kumtoa mkoloni ili tuweze kuwa huru kwenye nyanja zote

Nachokiona ukoloni ni kama bado upo indirect,mfano mzuri ni jinsi wazawa wanavyotolewa kwa nguvu kwenye ardhi zao na kupewa wawekezaji e.t.c
 
Mkuu hatuna ila tumeandikiwa na wazungu kwa kutegemea misaada. yaani umaskini wetu wenyewe tunategemea kusaidia toka nje hapo ndio utajua kwamba hata yule kiongozi aliyepo juu siku mambo yakimwaribikia basi atachukua bakuli na kuanza kuomba barabarani maana hatuna njia nyingine zaidi ya kuwa ombaomba fedha mkononi kijikimu. Kifupi leo hii fikra za kila Mtanzania - Fedha ndio msingi wa mmaendeleo!

Unfortunately tumekuwa wajinga wa kupindukia na wataendelea kutu twist anyhow they want
 
Back
Top Bottom