American lady
Member
- Jan 9, 2010
- 71
- 2
Dawa ya majungu! Hodi wajameni ktk jukwaa la maoni.maisha yanasogea tu na mambo yanabadilika lkn jambo moja tu linanisumbua kuhusu hawa sijui niwape jina gani labda wapika majungu.unakuta mtu mmefahamiana labda kazini kwa muda mfupi sn basi ukaamuakuhama kwenda sehemu nyingine baada ya muda huku nyuma unasikia yule aliyekuwa rafiki yk wa karibu anakuchafulia jina lako kwa maneno ya uongo.naombeni mnisaisaidie watu km hawa dawa yao ni nini?au tuwaweke ktk kundi gn maana watu km hawa lzm watakuwa na matatizo sn katika jamii.